Nijuze Habari

KAGERA Sugar kutesti mitambo Uganda

Filed in Michezo by on 06/08/2022 0 Comments

KAGERA Sugar kutesti mitambo Uganda KLABU ya Kagera Sugar inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda 🇺🇬 leo saa 10 jioni ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu 2022/2023.

Nijuze Habari Application

KAGERA Sugar kutesti mitambo Uganda 

KAGERA Sugar kutesti mitambo Uganda KLABU ya Kagera Sugar inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda 🇺🇬 leo saa 10 jioni ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu 2022/2023.

Mechi hii itachezwa katika Uwanja wa NAMBOOLE STADIUM uliopo Kampala kuanzia saa 10 kamili Jioni.

KAGERA Sugar kutesti mitambo Uganda Pia Kagera Sugar FC inatarajia kucheza michezo mitatu ya Kirafiki nchini Uganda kabla ya kurejea nyumbani kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) msimu wa 2022/2023.

Msimu mpya wa NBC Premier League 2021/2023 inatarajiwa kuanza August 15 huku Kagera Sugar FC ikitarajiwa kuanzia Ugenini dhidi ya Azam FC August 17 saa 2:14 Usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.