Nijuze Habari

KAGERE atambulishwa Singida Big Stars FC

Filed in Usajili by on 05/08/2022 0 Comments

KAGERE atambulishwa Singida Big Stars FCALIYEKUWA Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Meddie Kagere, amejiunga na Singida Big Stars FC ya mkoani Singida.

Nijuze Habari Application

KAGERE atambulishwa Singida Big Stars FC

KAGERE atambulishwa Singida Big Stars FCALIYEKUWA Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Meddie Kagere, amejiunga na Singida Big Stars FC ya mkoani Singida.

KAGERE atambulishwa Singida Big Stars FC

Kagere raia wa Rwanda mwenye umri wa miaka 35 ametambulishwa pamoja beki Muivory Coast Pascal Serge Wawa na Kiungo Said Ndemla katika Tamasha la SBS Day lililofanyika mkoani Singida jana Alhamisi ya August 04,2022.

KAGERE atambulishwa Singida Big Stars FC

Simba Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana ilisema kuwa ilifikia makubaliano ya kusitisha mikataba ya nyota wake watatu wa Kimataifa, Meddie Kagere wa Rwanda, Chris Mugalu wa DR Congo na Taddeo Lwanga wa Uganda.

Kagere amedumu katika klabu ya Simba SC kwa misimu minne akifunga jumla ya mabao 67.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.