Nijuze Habari App

KIKOSI Cha Simba SC Kinachosafiri kwenda Uturuki 2023

Filed in Michezo, New by on 11/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

KIKOSI Cha Simba SC Kinachosafiri kwenda Uturuki 2023

KIKOSI Cha Simba SC Kinachosafiri kwenda Uturuki 2023

KIKOSI Cha Simba SC Kinachosafiri kwenda Uturuki 2023

KIKOSI Cha Simba SC Kinachosafiri kwenda Uturuki 2023, Msafara wa Wachezaji cha Simba pamoja na benchi la ufundi unatarajiwa kuondoka nchini leo Jumanne kuelekea nchini Uturuki kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season 2023/2024).

Baada ya ratiba ya mechi za Ngao ya Jamii kutoka, Simba itakuwa na takribani wiki nne za maandalizi kabla ya kuivaa Singida Fountain Gate FC katika mchezo wa Nusu Fainali ambao utapigwa August 10 katika uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya hiyo, Ahmed Ally amesema kuwa bado hawajamaliza utambulisho, kuna wachezaji wengine wanasubiri kutambulishwa.

“Tunaondoka leo kwenda Uturuki kambini, wachezaji wetu wote watakwenda kushiriki kambi hiyo ya maandalizi. Kocha Robertinho na benchi lake la ufundi wote wako hapa tayari kwa safari”

“Wachezaji wanne wapya tuliowatambulisha nao watajumuika katika kikosi chetu kinachokwenda Uturuki. Bado hatujamaliza, kuna vyuma vingine viwili tutavitambulisha,” amesema Ahmed

Simba itakuwa Uturuki kwa muda wa wiki tatu na itarejea nchini August 01 kwaajili ya Tamasha la SIMBA DAY ambapo tarehe ya tukio hilo kubwa zaidi la michezo ukanda wa Afrika Mashariki bado haijatangazwa.

Ikiwa Uturuki Simba inatatajiwa kucheza mechi tatu za Kimataifa za kirafiki.

Kikosi Cha Simba kinachotarajiwa kusafiri kwenda nchini Uturuki kwaajili ya pre-season ni;

MAKIPA

 • Ally Salim
 • Ahmed Feruzi

MABEKI

VIUNGO

 • Claoutas Chma
 • Sadio kanoute
 • Mzamiru Yassin
 • Nassoro Kapama
 • Aubin Kramo Kouamé
 • Saido Ntibanzonkinza
 • Peter Banda
 • Pape Osmane Sakho

WASHAMBULIAJI

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
 • Willy Essomba Onana
 • Baleke Othos Baleke
 • John Raphael Bocco
 • Moses Phiri
 • Kibu Denis
 • Mohamed Mussa

KIKOSI Cha Simba SC Kinachosafiri kwenda Uturuki 2023, KIKOSI Cha Simba kinaenda Ururuki 2023, Kikosi cha Simba kitakachoweka kambi Ururuki 2023, Kikosi cha Simba kinachokwenda Ururuki pre-season 2023,Simba kucheza mechi tatu Uturuki, Simba kucheza mechi tatu za Kirafiki Uturuki.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *