KIKOSI Cha Simba vs Namungo FC Leo tarehe 03 May 2023 NBC Premier League

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


KIKOSI Cha Simba vs Namungo FC Leo tarehe 03 May 2023 NBC Premier League
KIKOSI Cha Simba vs Namungo FC Leo tarehe 03 May 2023 NBC Premier League,Kikosi cha Simba vs Namungo FC leo NBC,Kikosi cha Simba vs Namungo Leo,Kikosi cha Simba SC vs Namungo 3 May 2023.

KIKOSI Cha Simba vs Namungo FC Leo tarehe 03 May 2023 NBC Premier League
Klabu ya Simba SC itacheza mechi inayofuata ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC ya Lindi, May 3, 2023 Saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Majaliwa, Luangwa Mkoani Lindi.
Mechi hiyo ni ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023 raundi ya 26, Matokeo Simba v Namungo fc, Matokeo Simba vs Namungo leo 3 May 2023.
Kwa sasa, Namungo FC inashika nafasi ya 6 kwa ponti 35, huku Simba SC ikishika nafasi ya 2 kwa pointi 63 kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League 2022/2023) wote wakiwa wamecheza michezo 27.
Kwa ratiba na Matokeo ya soka leo tembelea Nijuze Habari. Live Score za Simba Sport Club, Wachezaji, ratiba ya msimu na matokeo ya leo yanapatikana kwenye Nijuze Habari.
Kikosi Cha Simba Leo dhidi ya Namungo FC,simba vs Namungo leo 3 May 2023,Simba vs Namungo Leo 2023,Simba vs Namungo Ligi Kuu Tanzania Bara 2023.
KIKOSI Cha Simba SC vs Namungo, leo tarehe 3 May 2023 kwenye (LIVE from Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi.
1:Ally Salim
2:Israel Mwenda
3:Gadiel Michael
4:Joash Onyango
5:Kennedy Juma
6:Erasto Nyoni (C)
7:Pape Osmane Sakho
8:Nassor Kapama
9:Jean Baleke
10:Saido Ntibazonkiza
11:Peter Banda
Wachezaji wa Akiba
12:Beno Kakolanya
13:Ahmed Feruzi
14:Jimmysom Mwanuke
15:Ismael Sawadogo
16:Jonas Mkude
17:Habibu Kyombo
18:John Bocco
19:Augustine Okrah
20:Mohammed Mussa

KIKOSI Cha Namungo FC vs Simba SC, leo tarehe 3 May 2023 kwenye (LIVE from Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi.
Mechi iliyopita ya Simba SC ilikuwa dhidi ya Wydad AC kwenye Robo Fainali ya CAF Champions League, mechi hiyo iliisha kwa Wydad Casablanca kushinda kwa penati matokeo 4 – 3.
Namungo FC wao mechi iliyopita ilikuwa dhidi ya Mbeya City FC katika Ligi Kuu ya NBC, mechi hiyo ilimalizika kwa Namungo kuibuka na ushindi wa mabao 2 – 1.
Head-to-head record za Simba vs Namungo katika mechi 5 za mwisho Simba wameshinda mara 4, kutoka sare mara 1 huku Namungo ikiwa haina ushindi wowote.
Matokeo ya mechi 5 za mwisho walizokutana Simba vs Namungo katika Ligi Kuu ya NBC.
16 November 2022 NBC Premier League
FT Simba 1 – 0 Namungo
3 May 2022 NBC Premier League
FT Namungo 2 – 2 Simba
3 November 2021 NBC Premier League
FT Simba 1 – 0 Namungo
18 July 2021 NBC Premier League
FT Simba 4 – 0 Namungo
29 May 2021 NBC Premier League
FT Namungo 1 – 3 Simba
Mechi zinazofuata za Simba Sports Club Tanzania
06/05/23 Nusu Fainali (ASFC)
16:00 Azam FC vs Simba
14/05/23 NBC Premier League
19:00 Simba vs Ruvu Shooting
24/05/23 NBC Premier League
19:00 Simba vs Polisi Tanzania
28/05/23 NBC Premier League
16:00 Simba vs Coastal Union
Unaweza shinda Mkwanja leo na Premier Bet Tanzania
Ukideposit unapewa Bonasi sawa na kiasi ulichoweka ukiweka hela kubwa unapokea Bonasi kubwa🔥
Kujiunga na premierbet Gusa HAPA.
Jaza Majina yako kamili, namba yako ya simu kwa kuanza na 6 au 7 kulingana na namba yako inavyoanza, kisha jaza email yako na password uitakyo na kisha irudie tena hiyo password kwa kuithibitisha.
N.B: Password ni tarakimu kuanzia 8 na unapaswa uchanganye herufi na namba.
Mfano: Morogoro123
Kikosi Cha Simba vs Namungo FC Leo tarehe 03 May 2023 NBC Premier League,Simba vs namungo leo live 2023,Simba vs Namungo live score,Simba vs Namungo full time,Simba vs Namungo prediction,Simba vs namungo 2023,simba vs namungo results,simba vs namungo fc,Simba na Namungo,simba vs namungo leo live 2023
UNAWEZA PIA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Kikosi cha Simba SC vs Namungo 3 May 2023., Kikosi cha Simba vs Namungo FC leo NBC, KIKOSI Cha Simba vs Namungo FC Leo tarehe 03 May 2023 NBC Premier League, Kikosi cha Simba vs Namungo Leo