KIKOSI Cha Taifa Stars dhidi ya Uganda Kufuzu AFCON 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


KIKOSI Cha Taifa Stars dhidi ya Uganda Kufuzu AFCON 2023

KIKOSI Cha Taifa Stars dhidi ya Uganda Kufuzu AFCON 2023
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Adel Amrouche ametaja kikosi cha Wachezaji 31 kuelekea Mchezo wa Mzunguuko wa tatu wa Kundi F, kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) dhidi ya Uganda ‘The Cranes’.
Kocha Amrouche ameanza kazi Stars, baada ya kusaini mkataba na TFF chini ya mwamvuli Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambayo itamlipa mshahara katika kipindi chote atakachokuwa kazini kuifundisha Taifa Stars.
Kocha huyo raia wa Algeria atakuwa na kibarua cha kuhakikisha Stars inashinda ugenini dhidi ya Uganda ‘The Cranes’ Machi 24 kabla ya timu hizo kurudiana tena Jijini Dar es salaam Uwanja wa Benjamin Mkapa Machi 28,2023.
Kikosi kilichotajwa na Kocha huyo ni;
MAKIPA
1:Aishi Manula (Simba SC)
2:Beno Kakolanya (Simba SC)
3:Metacha Mnata (Young Africans)
MABEKI
4:Kibwana Shomari (Young Africans)
5:Datius Peter (Kagera Sugar)
6:Yahya Mbegu (Ihefu FC)
7:David Luhende (Kagera Sugar)
8:Dickson Job (Young Africans)
9:Bakari Mwamnyeto (Young Africans)
10:Abdallah Mfuko (Kagera Sugar)
11:Ibrahim Baka (Young Africans)
12:Haji Mnoga (Aldershot Town – Uingereza)
DOWNLOAD Nijuze Habari App tukutumie Habari kwenye Simu yako
VIUNGO
13:Mudathir Yahya (Young Africans)
14:Sospeter Bajana (Azam FC)
15:Mzamiru Yassin (Simba SC)
16:Yusuph Kagoma (Singida BS)
17:Ramadhani Makame (Bodrumspor – Uturuki)
18:Abdul Suleiman (Azam FC)
19:Edmund John (Geita Gold FC)
20:Feisal Salum (Young Africans)
21:Khalid Habibu (KMKM FC)
22:Novatus Dismas (Zulte Waregem – Ubelgiji)
23:Himid Mao (Ghazl El Mahalla SC – Misri)
24:Ben Starkie (Basford United FC – Uingereza)
Cheza Happy hour Upate Bonasi ya 10% na Gal Sport Tanzania
WASHAMBULIAJI
25:Anuary Jabir (Kagera Sugar)
26:Simon Msuva (Al-Qadsiah – Saudi Arabia)
27:Mbwana Samata (KRC Genk – Ubelgiji)
28:Kelvin John (KRC Genk – Ubelgiji)
29:Said khamis (Al-Fujairah – UAE).
Wachezaji Wengine ni Alphonce Mabula kutoka FK Spartak Subotica ya Serbia na Ally Msengi kutoka Swallows ya Afrika Kusini.
Taifa Stars inashika nafasi ya tatu katika Msimamo wa Kundi F ikiwa ana alama 1 sawa na Uganda iliyo mkiani mwa Kundi hilo kwa vigezo vya herufi ya kwanza ya nchi hizo.
Algeria inaongoza Msimamo huo kwa kuwa na jumla ya pointi 6 ikifuatiwa na Niger yenye pointi 2 baada ya kupata sare dhidi ya Tanzania na Uganda.
Baada ya Kikosi hicho kutajwa imeibuka mitazamo tofauti kutoka kwa Mashabiki wa Soka nchini baada ya jina la kiungo Feisal Salum Abdallah licha ya kuwa nje ya uwanja wa zaidi ya miezi mitatu lakini jina lake ni mojawapo kati ya 31 walioitwa, huku baadhi ya nyota wanaotajwa kuwa na kiwango bora kwa kama Mohammed Hussein, Shomari Kapombe, Clement Clement na Salum Abubakar kuachwa.
- MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: KIKOSI Cha Taifa Stars dhidi ya Uganda Kufuzu AFCON 2023