Nijuze Habari

KIKOSI Cha Tanzania Kufuzu AFCON 2023

Filed in Michezo by on 20/05/2022 0 Comments

KIKOSI Cha Tanzania (Taifa Stars) Kitakachoingia Kambini kwaajili ya Mechi za Kufuzu AFCON 2023.

Nijuze Habari Application

KIKOSI Cha Tanzania Kufuzu AFCON 2023

KIKOSI Cha Tanzania (Taifa Stars) Kitakachoingia Kambini kwaajili ya Mechi za Kufuzu AFCON 2023.

KIKOSI Cha Tanzania Kufuzu AFCON 2023VIUNGO Himid Mao wa Klabu ya Ghazi Mahl ya nchini Misri na Salum Abubakari ‘Sure Boy’ wa Young Africans wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinachoingia kambini kujiandaa na Fainali za Mataifa Afrika (AFCON 2023).

Akizungumzia kuitwa kwa wachezaji hao, kocha msaidizi wa timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’, Shadrack Nsajigwa amesema kuwa sababu ya kuitwa kwa wachezaji hao ni kutokana na viwango wanavyovionyesha kwenye klabu zao.

Nsajigwa amesema kuingia kwa Mao na Sure Boy kwenye timu hiyo wamechukua nafasi za wengine ambao hawajaitwa.

“Mao na yeye licha ya awali alikuwa haitwi safari hii tumemuita kwa sababu watu wetu wamemfuatilia anachokifanya na kulizika na uwezo wake,” amesema Nsajigwa na kuongeza;

“Hatujamuita kwa sababu ya maneno ya mtandaoni bali tumemuita kulingana na kitu anachokifanya kwenye klabu yake.”

Tanzania inatajiwa kuingia rasmi kambini May 28 kwaajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON dhidi ya Niger itakaopigwa ugeninu June 04 baadae dhidi ya Algeria June 08 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

KIKOSI Cha Tanzania Kufuzu AFCON 2023Wachezaji walioitwa ni Aishi Manula (Simba SC), Abuutwalib Mshery (Young Africans SC), Metacha Mnata (Polisi Tanzania FC), Shomari Kapombe (Simba SC), Kibwana Shomari (Young Africans SC), Haji Mnonga (Weymouth – Uingereza), Mohammed Hussein ‘Tshabalala‘ (Simba SC) na Nickson Kibabage (KMC).

Wengine ni Bakari Mwamnyeto (Young Africans SC), Dickson Job (Young Africans SC), Kennedy Juma (Simba SC), Abdallah Kheri ‘Sebo’ (Azam FC), Novatus Dismas (Beitar Tel Aviv Bat Yam – Israel) na Mzamiru Yassin (Simba SC)

Wengine ni Aziz Andambwile (Mbeya City FC), Himid Mao (Ghazł El Mahalla SC – Misri), Simon Msuva (Wydad – Morocco), Kelvin John (KRC Genk – Belgium), Mbwana Samatta (Antwerp – Ubelgiji), Farid Mussa (Young Africans SC) na Abdul Suleiman (Coastal Union FC).

Wengine ni Feisal Salum (Young Africans SC), Ben Starkie (Spalding – England), Reliants Lusajo (Namungo FC), Kibu Denis (Simba SC), George Mpole (Geita Gold FC), Salum Abubakari ‘Sure Boy’ (Young Africans SC) na Ibrahim Joshua (Tusker-Kenya).

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇👇

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2022

AJIRA za Sensa ya Watu na Makazi 2022, Tazama hapa jinsi ya kujaza fomu

MORRISON atemwa Simba SC, mwenyewe afunguka ukweli

MATOKEO Simba SC vs Pamba FC May 14,2022 ( Robo Fainali ASFC)

MATOKEO Yanga SC vs Dodoma Jiji FC, May 15,2022

MSIMAMO + Vinara wa Ufungaji NBC Premier League May 15,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumanne May 17,2022

RATIBA raundi ya 25 NBC Premier League 2021/2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumatano May 18,2022

MATOKEO Azam FC vs Simba SC, May 18,2022

MAGAZETI ya Tanzania Alhamisi May 19,2022

MAGAZETI ya Tanzania Ijumaa May 20,2022

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.