KIKOSI CHA Tanzania vs Libya September 27 2022 | Mechi ya Kirafiki

Filed in Michezo by on 27/09/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

KIKOSI CHA Tanzania vs Libya September 27 2022 | Mechi ya Kirafiki

Kikosi Cha Tanzania Stars vs Libya Leo Jumanne September 27 2022, Kikosi Tanzania vs Libya Mechi ya Kirafiki September 27 2022, Kikosi Libya vs Taifa Stars September 27 2022, Kikosi Cha Libya vs Taifa Stars September 27 2022, Kikosi Cha Taifa Stars vs Libya leo,Kikosi cha Taifa Stars September 27 2022, Kikosi Taifa Stars vs Libya, Libya vs Taifa Stars, Libya vs Tanzania Matokeo.

KIKOSI CHA Tanzania vs Libya September 27 2022 | Mechi ya Kirafiki

KIKOSI CHA TANZANIA VS LIBYA SEP 27 2022

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikiwa nchini Libya leo Jumanne majira ya saa 2:00 Usiku itacheza mchezo wa Kirafiki ambao upo kwenye kalenda ya FIFA dhidi ya Libya.

Tanzania na majirani zetu Uganda zimealikwa na Libya katika michezo hiyo maalum ambapo Mataifa Mengine pia yamefanya hivo katika kuimarisha timu zao za Taifa.

Tanzania ilicheza na Uganda katika mchezo wa kwanza Jumamosi ya September 24 na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, bao la Simon Msuva.

Aidha nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta Matokeo ya mchezo huo moja kwa moja kuanzia saa 2:00 Usiku, mchezo utakapigwa kwenye dimba la Modern Mjini Benghazi, Libya.

BOFYA MATOKEO au KIKOSI kupata taarifa za mchezo huo moja kwa moja pamoja Kikosi kitakachoanza dhidi ya Libya leo Jumanne September 27 2022.

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *