Nijuze Habari

KIKOSI Cha Tanzania vs Somalia Kufuzu CHAN 2022

Filed in Michezo by on 14/07/2022 0 Comments

Tanzania vs Somalia Kufuzu CHAN 2022KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars kwaajili ya michezo ya kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) dhidi ya Somalia, ndani yake akijumuisha wachezaji saba wa Yanga na watano wa Simba.

Nijuze Habari Application

KIKOSI Cha Tanzania vs Somalia Kufuzu CHAN 2022

Tanzania vs Somalia Kufuzu CHAN 2022KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars kwaajili ya michezo ya kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) dhidi ya Somalia, ndani yake akijumuisha wachezaji saba wa Yanga na watano wa Simba.

Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kikosi hicho kitaingia kambini kesho Ijumaa July 15,2022 kuanza maandalizi ya mchezo huo.Tanzania vs Somalia Kufuzu CHAN 2022

1:Aishi Manula – Simba SC
2:Metacha Mnata Polisi Tanzania FC
3:Abutwalib Mshery – Young Africans SC
4:Kibwana Shomari – Young Africans SC
5:Lusajo Mwaikenda – Azam FC
6:David Luhende – Kagera Sugar FC
7: Paschal Msindo – Azam FC
8: Dickson Job – Young Africans SC
9:Bakari Mwamnyeto – Young Africans SC
10: Kennedy Juma – Simba SC
11: Mohamed – Hussein Simba SC
12:Nickaon Kibabage KMC FC

SERIKALI yatangaza Ajira mpya 334

MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi July 14,2022

SIMBA yamtambulisha Okrah

13: Mzamiru Yassin – Simba SC
14:Aziz Andabwile – Mbeya City FC
15: Kelvin Nashon – Geita Gold FC
16:Mudathir Yahya Azam FC
17: Feisal Salum – Young Africans SC
18:Farid Musa – Young Africans SC
19:Abdul Suleiman’Sopu’ – Coastal Union FC
20:Reliant Lusajo – Namungo FC
21:Kibu Denis – Simba SC
22:Anrwar Jabil – Dodoma Jiji FC
23:Salum Abubakar – Young Africans SC
24:George Mpole – Geita Gold FC

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.