telegram Nijuze Habari

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Al Hilal Omduraman Sudan

Filed in Michezo by on 14/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Al Hilal Omduraman Sudan

KOCHA Mkuu wa Young Africans SC, Nasreddine Nabi ametaja majina ya Wachezaji 25 wanaosafiri Alfajiri ya Jumamosi hii kuelekea nchini Sudan kwaajili ya mchezo wa Marudiano dhidi ya Al Hilal Omduraman October 16 2022.

Katika Mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, ulimalizika kwa sare ya bao 1-1, hivyo Yanga SC kuwa na ulazima wa kushinda au kupata sare ya mabao 2-2 ili kufuzu hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Kiungo Abubakar Salum ‘Sure Boy’ ameondolewa kwenye safari hiyo baada ya kuugua Malaria na daktari kushauri abaki kwaajili ya Matibabu zaidi.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *