KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Marumo Gallants South Africa

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Marumo Gallants South Africa

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Marumo Gallants South Africa
Makamu wa Rais wa Young Africans, Arafat Haji amesema ku2a timu imeondoka Tanzania kuelekea Afrika Kusini ikiwa na lengo moja tu, kupata matokeo mazuri ambayo yatawavusha kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Klabu hiyo itashuka uwanja wa Royal Bafokeng Jumatato hii ya May 17,2023 kumenyana na Marumo Gallants katika mchezo wa mkondo wa Pili wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho, mchezo ambao Yanga inahitaji ushindi au matokeo yoyote ya sare ili kutinga Fainali.
“Tunakwenda Afrika Kusini kupambana. Tumepata ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza, hili ni jambo jema kwetu hivyo tunajua nini tunapaswa kufanya katika mchezo wa pili”
“Kwa bahati nzuri katika mashindano haya timu yetu imekuwa na rekodi ya kufanya vizuri ugenini. Tunawaheshimu Marumo ni timu nzuri, ina wachezaji wazuri wanocheza soka la kuvutia lakini hata sisi tuna uzuri wetu unaotufanya tuweze kupata matokeo mazuri sehemu yoyote”
“Tumejipanga, tunaamini walimu waliiona vizuri Marumo Gallants katika mchezo uliopita hivyo watakuja na mipango ambayo itatuwezesha kupata ushindi na kuvuka hatua hii ya nusu fainali,” alisema Arafat
Klabu hiyo imesafiri Alfajiri ya leo Jumapili ikiwa na msafara wa takribani watu 100 uliojumuisha wachezaji viongozi na mashabiki ambao miongoni mwao 55 wamegharamiwa na Serikali
KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Marumo Gallants South Africa

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Marumo Gallants South Africa
Orodha ya Wachezaji wa Yanga waliosafiri kwenda South Africa
MAKIPA
1:Djigui Diarra
2:Metacha Mnata
3:Erick Johora
MABEKI
4:Ibrahim Abdallah
5:Bakari Mwamnyeto
6:Dickson Job
7:Kibwana Shomari
8:Joyce Lomalisa
9:Djuma Shaban
10:Mamadou Doumbia
VIUNGO
11:Farid Mussa
12:Mudathir Yahya
13:Zawadi Mauya
14:Yannick Bangala
15:Jesus Moloko
16:Khalid Aucho
17:Staphane Aziz Ki
19:Salum Abubakar
20:Tuisila Kisinda
WASHAMBULIAJI
21:Fiston Mayele
22:Kennedy Musonda
23:Clement Mzize
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Marumo Gallants South Africa