LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata US Monastir Tunisia

Filed in Michezo by on 08/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata US Monastir Tunisia

Yanga vs US Monastir 12 February 2023, Yanga SC vs Monastir Kombe la Shirikisho Afrika, Young Africans vs US Monastir, Young Africans vs US Monastir, US Monastir vs Yanga SC CAF Confederation Cup, Yanga SC vs US Monastir, Kikosi Cha Yanga vs US Monastir Tunisia, Kikosi Cha Yanga SC vs US Monastir.

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata US Monastir Tunisia

KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata US Monastir Tunisia

KIKOSI cha Yanga kinachosafiri leo kuelekea nchini Tunisia kwaajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) dhidi ya US Monastir Jumapili hii ya February 12, 2023.

SHINDA MAMILIONI NA GAL SPORT TANZANIA, JISAJILI HAPA KUSHINDA

Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Stade Olympique Hammadi Agrebi kwa sababu Uwanja wa nyumbani wa Monastir haukukidhi vigezo vya CAF.

Katika safari hiyo Yanga itaondoka na Wachezaji 25 akiwemo Aboutwalib Mshery ambaye anakwenda nchini Tunisia kwaajili ya matibabu zaidi.

MATOKEO ya Kidato cha Nne 2022/2023

Orodha ya Wachezaji wa Young Africans wanaosafiri kuifuata US Monastir ya Tunisia kwenye mchezo wa kwanza wa CAF Confederation Cup hatua ya Makundi.

MAKIPA
1:Djigui Diarra
2:Metacha Mnata
3:Eric Johora

RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023

MABEKI
4:Bakari Mwamnyeto
5:Dickson Job
6:Shaban Djuma
7:Ibrahim Abdallah
8:Joyce Lomalisa
9:Kibwana Shomari
10:Mamadou Doumbia
11:David Bryson

RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023

VIUNGO
12:Zawadi Mauya
13:Khalid Aucho
14:Yanick Bangala
15:Mudathir Yahya
16:Salum Abubakar
17:Dickson Ambundo
18:Tuisila Kisinda
19:Jesus Moloko
20:Farid Mussa

DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa

WASHAMBULIAJI
21:Stephen Aziz Ki
22:Fiston Mayele
23:Kennedy Musonda
2:Clement Mzize

MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023

WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *