KIKOSI Cha Yanga kinachoifuata USM Alger June 1 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
KIKOSI Cha Yanga kinachoifuata USM Alger June 1 2023

KIKOSI Cha Yanga kinachoifuata USM Alger June 1 2023
Klabu ya Young Africans inatatajiwa kuondoka nchini Kesho Alhamisi saa 5 asubuhi kuelekea Algeria kwaajili ya mchezo wa mkondo wa pili Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya USM Alger ya nchini humo.
Msafara huo utaondoka na Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Dreamliner yenye uwezo wa kubeba watu /Abiria takribani mia mbili na hamsini (250).
Ndege hiyo itaondoka na Wachezaji, viongozi, wanahabari na mashabiki Kuelekea Algeria kwenye Mchezo wa fainali (CAFCC) dhidi ya USM Alger.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi ya June 03,2023, kwenye Uwanja wa July 05 1962 wenye uwezo wa kubeba Mashabiki 95,000 Kuanzia saa 4 Usiku kwa saa za hapa Tanzania

KIKOSI Cha Yanga kinachoifuata USM Alger June 1 2023
Orodha ya Wachezaji wa Yanga wanaosafiri kwenda Algeria kwaajili ya mchezo wa Fainali mkondo wa Pili ni;
MAKIPA
1:Djigui Diarra
2:Metacha Mnata
3:Erick Johora
4:Abutwalib Mshery
MABEKI
5:Ibrahim Abdallah
6:Bakari Mwamnyeto
7:Dickson Job
8:Kibwana Shomari
9:Joyce Lomalisa
10:Shaban Djuma
11:David Byson
12:Mamadou Doumbia
13:Abdallah Shaibu
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
VIUNGO
14:Yanick Bangala
15:Khalid Aucho
16:Salum Abubakar
17:Mudathir Yahya
18:Farid Mussa
19:Zawadi Mauya
20:Denis Nkane
21:Tuisila Kisinda
22:Dickson Ambundo
23:Jesus Moloko
WASHAMBULIAJI
24:Benard Morrison
25:Clement Mzize
26:Kennedy Musonda
27:Crysin Ngushi
28:Fiston Mayele
29:Stephen Aziz Ki
Katika Mchezo wa Fainali ya kwanza, Young Africans ilipoteza kwa mabao 2-1, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.
Kuelekea mchezo huo Young Africans inahitaji kupata Ushindi wa Kuanzia mabao 2-0, Ushindi wa mabao 3-2, au Ushindi wa mabao 4-3, ili kutwaa taji la CAF CAF Confederation Cup 2023.
Endapo Ushindi utakuwa wa mabao 2-1 mechi itaenda kwenye hatua ya mikwaju ya penati ili kupata Mshindi
KIKOSI Cha Yanga kinachoifuata USM Alger June 1 2023,Yanga yaifuata USM Alger,Yanga vs USM Alger,Yanga yaifuata USM Alger Algeria,Yanga kutua Algeria Young Africans vs USM Alger,Yanga kuifuata USM Alger kesho, Young Africans vs USM Alger Leo tarehe 3 June 2023 Fainali CAF Confederation Cup,Yanga vs USM Alger Algeria Leo.
Young Africans vs USM Alger Leo 3 May 2023,matokeo Yanga vs USM Alger Leo,Yanga vs USM Alger leo, Young Africans vs USM Alger Final CAF Confederation Cup today, Young Africans vs USM Alger leo, Yanga vs Union Sportive de la Médina d’Alger Leo CAF Confederation Cup, Yanga SC vs USM Alger Algeria CAF Confederation Cup,Yanga SC vs USM Alger 2023,Yanga vs USM Alger FC, Young Africans vs USM Alger Algeria CAF Confederation Cup 2022/2023,young africans vs Union Sportive de la Médina d’Alger.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: KIKOSI Cha Yanga kinachoifuata USM Alger June 1 2023, matokeo Yanga vs USM Alger Leo, Yanga kuifuata USM Alger kesho, Yanga kutua Algeria Young Africans vs USM Alger, Yanga SC vs USM Alger 2023, Yanga SC vs USM Alger Algeria CAF Confederation Cup, Yanga vs Union Sportive de la Médina d'Alger Leo CAF Confederation Cup, Yanga vs USM Alger, Yanga vs USM Alger Algeria Leo, Yanga vs USM Alger FC, Yanga vs USM Alger leo, Yanga yaifuata USM Alger, Yanga yaifuata USM Alger Algeria, young africans vs Union Sportive de la Médina d'Alger, Young Africans vs USM Alger Algeria CAF Confederation Cup 2022/2023, Young Africans vs USM Alger Final CAF Confederation Cup today, Young Africans vs USM Alger leo, Young Africans vs USM Alger Leo 3 May 2023, Young Africans vs USM Alger Leo tarehe 3 June 2023 Fainali CAF Confederation Cup