Nijuze Habari

Kocha Azam FC asaini Mkataba mnono

Filed in Usajili by on 25/01/2022 0 Comments

Klabu ya Azam FC, imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha wa mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina.

Nijuze Habari Application

Klabu ya Azam FC, imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha wa mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina.

Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana.

Soma: SOKABET App nzuri ya Kubetia Soka

Soma: BETI kwa dau dogo la Shilingi 1 na SOKABET

Baadae akateuliwa kuwa kaimu Kocha wa kikosi cha kwanza kwa takriban mwezi sasa tangu kuondolewa kwa kocha Mzambia, George Lwandamina na baada ya kazi yake nzuri Uongozi umeamua kumpa mkataba rasmi wa miaka mitatu.

“Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina amini katika klabu hii, nina amini katika uwezo wa klabu hii, klabu hii ina nafasi ya kufanya makubwa,”- Abdihamid Moallin amesema Kocha huyo baada ya kusaini Mkataba huo.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.