Kocha Mpya Simba awasili Tanzania

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Matokeo Mlandege FC vs Yanga SC November 09,2021
KOCHA mpya wa Klabu ya Simba SC, Pablo Franco Martine amewasili nchini Tanzania leo asubuhi kwaajili kuanza majukumu yake ndani ya kikosi hicho chenye makazi yake mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaam.
Soma: Magazeti ya Tanzania Jumatano November 10,2021
Pablo amewasili nchini akitokea kwao nchini Hispania kupitia Dubai-Zanzibar kisha Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Mratibu wa Simba, Abbas Seleman.
Soma: Matokeo ya Darasa la Saba 2021
Kocha huyo aliambatana na Wakala wake ambaye ni raia wa Kenya, ambapo anatarajiwa kusaini mkataba kabla ya kutambulishwa rasmi.
Soma: Simba yasajili kocha Mpya
Kocha Pablo kwa mara ya kwanza amekutana na makocha wasaidizi wa Simba SC Thierry Hitimana na Seleman Matola.
Kocha Simba azungumza kwa Mara ya kwanza
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Kocha Mpya Simba awasili Tanzania, Kocha Mpya Simba SC, Pablo Franco Martín