KOCHA Simba afunguka kuelekea Mchezo vs Yanga October 23 2022
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
KOCHA Simba afunguka kuelekea Mchezo vs Yanga October 23 2022
Yanga vs Simba October 23 2022, Simba SC vs Yanga SC, Yanga vs Simba 23 October 2022, Simba Sports Club vs Young Africans SC 23 October 2022, Simba SC vs Yanga SC NBC Premier League, Yanga vs Simba Yanga Ligi Kuu, Yanga vs Simba watani wa Jadi, Matokeo Simba vs Yanga October 23 2022, Kariakoo Derby, Dar es Salaam Debry 23 October 2022, Derby ya Dar es Salaam Simba SC vs Yanga SC, Yanga vs Simba October 23 2022, Simba Sports Club vs Young Africans SC October 23 2022, Yanga SC vs Simba SC 23 October 2022.

KOCHA Simba afunguka kuelekea Mchezo vs Yanga October 23 2022
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba SC Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa mchezo wa Derby ya Dar es Salaam au Kariakoo dhidi ya watani wao Yanga SC, hautabiriki na utakuwa mgumu.
Mgunda amesema kuwa mchezo wa watani wa Jadi siku zote ni mgumu ndiyo maana anaendelea kukiandaa kikosi ambapo Wachezaji wanajitahidi kufuata maelekezo yake mazoezini.
Ingawa itakuwa ni mchezo wake wa kwanza wa Derby, Mgunda amesema hana presha ya mechi ingawa anahafamu itakuwa ngumu na ya kuvutia kutokana na ubora wa timu zote mbili kwa sasa.
“Mchezo utakuwa mgumu, siku zote mechi ya Derby haijawahi kuwa rahisi nasi tunajua, tunaendelea na mazoezi, nafurahi jinsi wachezaji wangu wanavyopokea maelekezo mazoezini.
“Ni kweli utakuwa mchezo wangu wa kwanza wa Derby lakini sina presha, najua itakuwa mechi nzuri kikubwa tuwaombee wachezaji waamke salama siku hiyo,” amesema Mgunda.
Mchezo huo utapigwa Jumapili hii ya October 23, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuanzia majira ya saa 11:00 Jioni.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Dar es Salaam Debry 23 October 2022, Derby ya Dar es Salaam Simba SC vs Yanga SC, Kariakoo Derby, KOCHA Simba afunguka kuelekea Mchezo vs Yanga October 23 2022, Matokeo Simba vs Yanga October 23 2022, Simba SC vs Yanga SC, Simba SC vs Yanga SC NBC Premier League, Simba Sports Club vs Young Africans SC 23 October 2022, Simba Sports Club vs Young Africans SC October 23 2022, Yanga SC vs Simba SC 23 October 2022., Yanga vs Simba 23 October 2022, Yanga vs Simba October 23 2022, Yanga vs Simba watani wa Jadi, Yanga vs Simba Yanga Ligi Kuu