Nijuze Habari

Kocha Simba ajiuzuru

Filed in Michezo by on 28/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

ALIYEKUWA Kocha msaidizi wa Simba SC, Thierry Hitimana amevunja mkataba wake na klabu Hiyo kama kocha msaidizi baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

Kocha huyo amewaaga wachezaji wa timu hiyo wakiwa katika mazoezi kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Azam FC.

telegram Nijuze Habari

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.