KOCHA Simba atua Wydad Casablanca

Filed in Michezo by on 06/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

KOCHA Simba atua Wydad Casablanca

KOCHA Simba atua Wydad Casablanca

KOCHA Simba atua Wydad Casablanca

MABINGWA watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afika, Wydad Casablanca wamemtangaza Sven Vandenbroeck kuwa Kocha wao Mkuu wa akichukua mikoba ya Juan Carlos Garido aliyebwaga manyanga.

Sven ametua Wydad AC akitokea Abha inayoshiriki Ligi Kuu ya Saud Arabia, ambapo katika mechi sita alizoiongoza timu hiyo alishinda mmoja, sare moja na kupoteza mechi nne.

KOCHA Simba atua Wydad CasablancaSven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 43 amewahi kuifundisha Simba SC mwaka 2019 hadi 2021 kabla ya kutimkia Morocco kwenye Klabu ya FAR Rabat na baadae Saudia Arabia.

Kibarua chake cha kwanza kitakuwa mchezo wa Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini.

Miongoni mwa Masharti aliyopewa Sven ili apewe Mkataba wa kudumu ni kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco (Botola Pro League) pamoja na kuifikisha Wydad Fainali ya CAF Champions League 2022/2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *