Kouassi Attohoula Yao atambulishwa Yanga SC
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Kouassi Attohoula Yao atambulishwa Yanga SC

Kouassi Attohoula Yao atambulishwa Yanga SC
Kouassi Attohoula Yao atambulishwa Yanga SC, Klabu ya Yanga imetangaza kukamilisha usajili wa beki wa kulia, Kouassi Attohoula Yao kutoka ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast kwa Mkataba wa mwaka mmoja.
Kouassi Attohoula Yao mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa Yanga kuchukua nafasi ya beki Mcongomani, Djuma Shaaban ambaye muda wowote atapewa mkono wa kwaheri.
Kouassi Attohoula Yao anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kukaba na kupandisha mashambulizi, msimu huu kwenye Ligi Kuu ya Ivory Coast amefunga mabao 2 na kutoa pasi za mabao 7, huku kwenye Kombe la Shirikisho akitoa pasi za mabao 3.
- CV ya Kouassi Attohoula Yao Mchezaji mpya wa Yanga SC 2023
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
Kouassi Attohoula Yao anakuwa Mchezaji mpya wa tano wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024 baada ya usajili wa Kiungo Mshambuliaji, Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema Union ya kwao DR Congo, Kiungo Mkabaji Jonas Mkude kutoka Simba SC.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Wengine ni beki, Gift Fred Giggy kutoka SC Villa ya kwao Uganda na kiungo Mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC ya Singida.
Kouassi Attohoula Yao atambulishwa Young Africans, Kouassi Attohoula Yao atambulishwa Yanga SC, Kouassi Attohoula Yao Yanga, Kouassi Attohoula Yao atua Yanga sc, Kouassi Attohoula Yao Yanga SC, Kouassi Attohoula Yao Young Africans, Kouassi Attohoula Yao Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Kouassi Attohoula Yao, Yanga yamsajili Kouassi Attohoula Yao kutoka SC AS Maniema Union,Kouassi Attohoula Yao Yanga SC, Kouassi Attohoula Yao Young Africans SC.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
