LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

KOZI ya Ukocha ya Maboresho (Refresher Course) May 2023

Filed in Michezo by on 26/04/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

KOZI ya Ukocha ya Maboresho (Refresher Course) May 2023

KOZI ya Ukocha ya Maboresho (Refresher Course) May 2023,Kozi za ukocha mpira wa miguu 2023,Elimu ya michezo,CAF diploma B.

KOZI ya Ukocha ya Maboresho (Refresher Course) May 2023,Kozi za ukocha mpira wa miguu 2023,Elimu ya michezo,CAF diploma B.

KOZI ya Ukocha ya Maboresho (Refresher Course) May 2023

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatarajia kuendesha Kozi ya ukocha ya maboresho (Refresher Course) CAF B Diploma itakayofanyika Tanga kuanzia Mei 15, 2023.

SIFA ZA MUOMBAJI

  • Awe na CAF B Diploma
  • Awe mwalimu hai anayefundisha
  • Ajaze fomu za maombi
  • Awe ametimiza angalau mwaka mmoja tokea alipomaliza CAF B Diploma
  • Awe na leseni hai ya CAF B Diploma inayotolewa na TFF.

Fomu ya maombi inapatikana kwenye Tovuti ya TFF www.tff.or.tz na itawasilishwa kupitia barua pepe technical@tff.or.tz.

Kozi ya maboresho CAF B Diploma ndio kigezo pekee kinachomuwezesha mshiriki kusoma Kozi ya CAF A Diploma.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Idara ya Ufundi TFF
President: Wallace Karia, Email: wallace.karia@tff.or.tz | General Secretary: Kidao Wilfred, Email: kidao.wilfred@tff.ortz

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *