Nijuze Habari App

KUFUZU Kombe la Dunia 2026 Tanzania yapangwa Kundi E

Filed in Michezo, New by on 13/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA

JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA

VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

KUFUZU Kombe la Dunia 2026 Tanzania yapangwa Kundi E

KUFUZU Kombe la Dunia 2026 Tanzania yapangwa Kundi E, Tanzania imepangwa kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026,Makundi Kufuzu FIFA World Cup 2026 ,Makundi ya Kombe la Dunia 2026,Kundi la Tanzania World Cup 2026,Haya Hapa Makundi Kufuzu World Cup 2026.

TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa Kundi E pamoja na Morocco, Zambia, Kongo, Niger na Eritrea katika mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia zitakazoandaliwa kwa pamoja na Canada, Mexico na Marekani.

TAIFA STARS YAPANGWA KUNDI E KUFUZU KOMBE KA DUNIA 2026

TAIFA STARS YAPANGWA KUNDI E KUFUZU KOMBE KA DUNIA 2026

Michezo ya kuwania hatua hiyo itachezwa kwa muda wa miaka miwili ambapo michezo ya kwanza itakuwa kati ya November 13 na 21 na itahitimishwa November 2025.

Mashindano hayo ya 23 yatahusisha timu 54 badala ya 32 kama ilivyozoeleka, hivyo Afrika pamoja na vyama vingine vya Soka vitapata nchi washiriki zaidi.

Kutokana na mabadiliko hayo, Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2026 yataundwa na Makundi 9, kila kundi likiwa na timu sita ambapo itashuhudia idadi ya michezo ikiongezeka kutoka 64 hadi 104 na Mashindano yatachukua kati ya siku 38 hadi 40.

Makundi kufuzu Kombe la Dunia 2026.

Makundi kufuzu Kombe la Dunia 2026.

Kundi A kuna; Misri, Burkina Faso, Guinea-Bissau, Sierra Leone, Ethiopia na Djibouti.

Kundi B; Senegal, DRC, Mauritania, Togo, Sudan na Sudan Kusini.

Kundi C; Nigeria, Afrika Kusini, Benin, Zimbabwe, Rwanda na Lesotho.

Kundi D; Cameroon, Cape Verde, Angola, Libya, Eswatini na Mauritius.

Kundi E; Tanzania, Morocco, Zambia, Kongo, Niger na Eritrea.

Kundi F; Ivory Coast, Gabon, Kenya, Gambia, Burundi na Shelisheli.

Kundi G; Algeria, Guinea, Uganda, Msumbiji, Botswana na Somalia.

Kundi H; Tunisia, Equatorial Guinea, Namibia, Malawi, Liberia na São Tomé & Príncipe.

Kundi I; Mali, Ghana, Madagascar, Jamhuri ya Afrika ya Katí, Comoro na Chad.

Washindi wa makundi hayo yote tisa watajikatia moja kwa moja tiketi za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

Washindi wa pili Bora wanne watamenyana katika michuano mdogo na kinara atakamilisha idadi ya timu 10 zitakazoiwakilisha Afrika kwenye Kombe lijalo la Dunia.

KUFUZU Kombe la Dunia 2026 Tanzania yapangwa Kundi E, Tanzania imepangwa kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026,Makundi Kufuzu FIFA World Cup 2026 ,Makundi ya Kombe la Dunia 2026,Kundi la Tanzania World Cup 2026,Haya Hapa Makundi Kufuzu World Cup 2026.

CAF yatangaza mfumo mpya wa kufuzu kombe la dunia 2026,Kombe la dunia 2026: Tanzania mikononi mwa Morocco,Safari ya Tanzania Kombe la Dunia 2026,Stars kundi E kufuzu Kombe la Dunia,Makundi Kufuzu Kombe la Dunia 2026,Dira ya dunia,Habari za dunia.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *