Nijuze Habari App

Leandre Essomba Willy Onana atua Simba SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 05/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Leandre Essomba Willy Onana atua Simba SC

Leandre Essomba Willy Onana Simba SC, Willy essomba onana nationality,Willy Essomba Onana profile,Willy Essomba Onana transfermarkt,Willy essomba onana wikipedia,Leandre Essomba Willy Onana atua Simba SC.

Leandre Essomba Willy Onana atua Simba SC

Leandre Essomba Willy Onana atua Simba SC, Klabu ya Simba imemtambulisha Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Onana raia wa Cameroon mwenye umri wa miaka wa 22 ameisajiliwa Simba SC baada ya misimu miwili ya kucheza Rayon Sports akiibuka mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Rwanda msimu uliopita 2022/2023.

Leandre Essomba Willy Onana Simba SC, Willy essomba onana nationality,Willy Essomba Onana profile,Willy Essomba Onana transfermarkt,Willy essomba onana wikipedia,Leandre Essomba Willy Onana atua Simba SC.Mpachika mabao huyo aliwasili Jijini Kigali mwezi September mwaka 2021 akiwa sehemu ya Wachezaji 50 waliojitokeza kufanya majaribio Rayon Sports chini ya kocha Juma Masudi.

Kabla ya kujiunga na Rayon Sports kwa majaribio 2021, nyota huyo anayetarajiwa kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Rwanda, alichezea Ending Sport FC ya kwao, klabu ambayo inasifika kwa kuibua vipaji vya chipukizi.

Huo unakuwa usajili wa kwanza wa Simba SC kuelekea msimu mpya wa Mashindano wa 2023/2024.

Leandre Essomba Willy Onana Simba SC, Willy essomba onana nationality,Willy Essomba Onana profile,Willy Essomba Onana transfermarkt,Willy essomba onana wikipedia,Leandre Essomba Willy Onana atua Simba SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *