Nijuze Habari

Lewandowski Mchezaji Bora 2021

Filed in Michezo by on 18/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland ambaye anakipiga FC Bayern Munich Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya FIFA ya Mchezaji Bora wa mwaka 2021 wakati mshambuliaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo akitwaa tuzo maalumu.

➡️ MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2021

➡️MATOKEO HA MTIHANI WA MAARIFA 2021

➡️MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE 2021

➡️MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI 2021

Lewandowski mwenye umri wa miaka 33 ametwaa tuzo hiyo ikiwa ni mara ya pili mfululizo ambapo katika kipindi hicho ametupia bao 69 akimshinda Lionel Messi wa FC Barcelona na Mohamed Salah wa Liverpool.

Ronaldo ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa muda wote kimataifa, Lewandowski moja ya washambuliaji hatari kwa hivi sasa Duniani, alivunja rekodi ya Mjerumani Gerd Muller ya miaka 49, ambapo alifunga goli 43 katika mechi 34 za Ligi kwenye kipindi kimoja cha msimu.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.