LIVE Azam FC vs Simba SC October 26 2022

Filed in Michezo by on 27/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

LIVE Azam FC vs Simba SC October 26 2022

Azam FC vs Simba SC October 27 2022, Matokeo Azam FC vs Simba Sports Club , Matokeo Simba SC vs Azam FC 27 October 2022, Matokeo Simba vs Azam 27 October 2022, Simba vs Azam NBC Premier League, Matokeo ya Azam FC vs Simba SC Ligi Kuu, Simba vs Azam FC, Matokeo Azam FC vs Simba SC October 26 2022, Simba SC vs Azam FC NBC Premier League 2022/2023, Azam vs Simba October 27 2022, Simba SC vs Azam FC October 27 2022, Azam FC SC vs Simba 27 October 2022, Live Updates Simba SC Azam FC, Live Simba SC vs Azam FC October 27 2022.

LIVE Azam FC vs Simba SC October 26 2022

LIVE Azam FC vs Simba SC October 26 2022

Ligi Kuu Tanzania Bara inaratajiwa kuendelea Leo Alhamisi ya October 27 2022 majira ya saa moja Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ukiwa ni Mchezo wa Derby ya Mzizima kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC.

Ni mhezo muhimu kwa Klabu ya Simba SC ikitaka kushinda ili kuhakikisha inarudi kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).

Ni Mchezo wa kurejesha Imani kwa bechi la Ufundi a Azam FC inayoonekana ikitoka kupoteza Mchezo uliopita kwa kufugwa mabao 2-1 na KMC FC.

Simba wao wametoka kucheza Derby nyingine ya Kariakoo dhidi ya Yanga na kulazimishwa sare ya bao 1-1, hivyo Ushindi ndio Matokeo Muhimu kwao.

Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa Leo Alhamisi ya October 27,2022 kuanzia saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari pua itakuletea Kikosi Cha Simba SC Kinachoanza dhidi ya Azam FC mapema iwezekanavyo, pamoja na Kikosi Cha Azam FC kitakachoanza dhidi ya Simba SC.

KUONA Kikosi Cha Simba SC Bofya HAPA na kuona KIKOSI Cha Azam FC Bofya HAPA

Kuona Matokeo ya Mchezo huo Kati ya Azam FC vs Simba SC Bofya HAPA.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *