Nijuze Habari App

LIVE Simba vs Ihefu, Mgunda awataja wanne watakakosekana

Filed in Michezo by on 12/11/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

LIVE Simba vs Ihefu, Mgunda awataja wanne watakakosekana

Simba SC vs Ihefu SC, Matokeo Simba vs Ihefu FC, Simba SC vs Ihefu, Matokeo Ihefu SC vs Simba leo, Simba SC vs Ihefu live leo, Matokeo Simba SC vs Ihefu 12 November 2022, Simba vs Ihefu FC tarehe 12.11 2022, Magoli ya Simba vs Ihefu, Magoli yote Simba SC vs Ihefu SC, Matokeo Simba vs Ihefu tarehe 12 November 2022, Simba vs Ihefu live, live Simba vs Ihefu SC, NBC Premier League 2022, Ligi Kuu Bara 2022/2023, live Ligi Kuu Simba vs Ihefu.

LIVE Simba vs Ihefu, Mgunda awataja wanne watakakosekana

LIVE Simba vs Ihefu, Mgunda awataja wanne watakakosekana

KLABU ya Simba SC leo Jumamosi saa 1:00 Usiku itashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2022/2023.

KIKOSI Cha Simba vs Ihefu 12 November 2022

Simba wamesema kuwa wanaingia kwenye mchezo wa leo wakiwa na lengo moja tu la kupambana kutafuta alama tatu muhimu ambazo zitaifanya kurejea nafasi ya juu kwenye Msimamo wa Ligi.

Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa msimu huu Ligi ni ngumu na kila timu bila kujalisha ipo kwenye nafasi gani imejiandaa vizuri kupigania pointi tatu.LIVE Simba vs Ihefu, Mgunda awataja wanne watakakosekana

Mgunda amesema Ihefu ipo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa Ligi lakini wanajua mchezo wa leo utakuwa mgumu na wataipa upinzani mkubwa Simba ijapokuwa Simba SC wamejidhatiti kupata ushindi.

MATOKEO Simba vs Ihefu 12 November 2022

“Maandalizi yamekamilika kikosi kipo tayari kwa mchezo wa leo, tutaingia kupambana na Ihefu bila kutazama nafasi waliyopo.. Tunaiheshimu Ihefu na tunaamini watatupa upinzani mkubwa,” amesema Mgunda.

Naye nahodha Msaidizi Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema wachezaji wapo tayari kwaajili ya mchezo wa leo na maandalizi yamefanyika kwa ukamilifu.

RATIBA Kamili na Makundi ya Kombe la Dunia Qatar 2022

Zimbwe amesema ushindi kwenye mchezo wa leo utawasaidia kupunguza tofauti iliyopo baina yeo na wanaongoza na kuzidi kuwapa presha.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

“Sisi wachezaji tupo tayari kwa mchezo, tunajua utakuwa mgumu. Tumetoka kucheza mechi ngumu dhidi ya Singida na hatujapata matokeo mazuri kwa hiyo tutajitahidi kupata ushindi leo,” amesema Zimbwe Jr.

MATOKEO Simba Queens vs Bayelsa Queens 12 November 2022

Katika hatua nyingine, Kocha Juma Mgunda amewataja Peter Banda, Jimmyson Mwanuke na Israel Patrick kuwa ndio wachezaji majeruhi ambao hawatakuwa sehemu ya mchezo wa leo.

Kiungo Clatous Chama anayeendelea kutumikia adhabu ya kufungiwa mechi tatu naye hatokuwa sehemu ya mchezo huo pia.

Sambamba na hilo Kampuni Bora ya kubet Tanzania SOKABET inakukaribisha kuweka bashiri zako katika Michezo Mbalimbali kama LIVE Casino, Slots, Zeppelin, Virtual Game, Basketball na Mpira wa Miguu.

Faida ya kuweka bashiri zako kupitia SOKABET ni upatikanaji wa Bonusi za Viwango, kama 100% kwa wekezo la kwanza, 10% kwa Casino na Mpira wa Miguu Pamoja na Multibonus hadi 750.

Sehemu pekee ya kupiga pesa kiurahisi na kufanya miamala kwa haraka zaidi ni SOKABET the best sports Betting in Tanzania.

Aidha Nijuze Habari Kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa leo Jumamosi ya November 12,2022 kuanzia saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Matokeo pia Nijuze Habari itakuletea Kikosi Cha Simba SC Kinachoanza dhidi ya Ihefu mapema iwezekanavyo.

KUONA Kikosi Cha Simba SC kinachoanza vs Ihefu SC Bofya HAPA

LIVE Simba SC vs Ihefu SC November 12 2022 

KUONA Matokeo ya Mchezo huo Kati ya Simba SC vs Ihefu SC Bofya HAPA.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *