Nijuze Habari

Liverpool yaifuata Chelsea Carabao Cup

Filed in Michezo by on 21/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MABAO ya Diogo Jota dakika ya 19 na 77 yemetosha kuipa Liverpool ushindi wa 2-0 wa dhidi ya wenyeji, Arsenal katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku uliofanyika Jana Alhamisi Uwanja wa Emirates Jijini London.

Jota alifunga mabao hayo mara zote akimalizia kazi nzuri za Trent Alexander-Arnold na kufuatia sare ya 0-0 kwenye mechi ya kwanza Anfield wiki iliyopita, Liverpool wanakwenda Fainali ya Carabao Cup na watakutana na Chelsea February 27 Kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London.

telegram Nijuze Habari

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.