Nijuze Habari App

Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba SC

Filed in Michezo, New, Usajili by on 22/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba SC

Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba SC, Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba, Luis Miquissone Simba SC,Luis Miquissone Simba SC,Luis Jose Miquissone Simba, Luis Miquissone Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Luis Miquissone, Khis Jose Miquissone ni mnyama, Luis Jose Miquissone Mchezaji mpya Simba SC,Luis Miquissone Simba Sports Club Tanzania, Luis Miquissone arejea Simba SC.

Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba SC

Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba SC, Klabu ya Simba SC, imetangaza kukamilisha Usajili wa kiungo Mshambuliaji, Luis Jose Miquissone maarufu ‘Konde Boy’ kama Mchezaji huru kutoka Abha FC ya Saudi Arabia alipokuwa kwa mkopo kutoka Al Ahly ya Misri.

Miquisone raia wa Msumbiji mwenye umri wa miaka 27 amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu.

Miquissone alijiunga na Simba SC kwa mara ya kwanza mwaka 20220 kutokea UD Songo ya kwao Mozambique, akisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Klabu hiyo yenye maskani yake Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es salaam.

Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba SC, Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba, Luis Miquissone Simba SC,Luis Miquissone Simba SC,Luis Jose Miquissone Simba, Luis Miquissone Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Luis Miquissone, Khis Jose Miquissone ni mnyama, Luis Jose Miquissone Mchezaji mpya Simba SC,Luis Miquissone Simba Sports Club Tanzania, Luis Miquissone arejea Simba SC.Miquissone anakuwa Mchezaji mpya wa tisa kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya beki wa Kati Hussein Kazi kutoka Geita Gold FC, kiungo mkabaji Abdallah Hamis kutoka Orapa United ya Botswana na Mshambuliaji Shaban Chilunda kutoka Azam FC.

Wengine ni Kiungo Farbice Luamba Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan na beki Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport ya Cameroon.

Wengine ni Beki wa Kulia David Kameta aliyerejeshwa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro alipokuwa kwa mkopo, kiungo Mshambuliaji, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Luis Jose Miquissone akiwa na Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji'Mo'

Luis Jose Miquissone akiwa na Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji’Mo’

Kurejea kwa Miquissone ni faida kubwa Simba kwani tayari ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika lakini kubwa zaidi analijua vema soka la Tanzania.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Miquissone anataraji kuondoka mapema wiki ijayo kuelekea Uturuki ambapo atajiunga na wenzie kwaajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/2024

Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba SC, Luis Jose Miquissone atambulishwa Simba, Luis Miquissone Simba SC,Luis Miquissone Simba SC,Luis Jose Miquissone Simba, Luis Miquissone Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Luis Miquissone, Khis Jose Miquissone ni mnyama, Luis Jose Miquissone Mchezaji mpya Simba SC,Luis Miquissone Simba Sports Club Tanzania, Luis Miquissone arejea Simba SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *