Nijuze Habari

MABADILIKO Ufunguzi Kombe la Dunia

Filed in Michezo by on 11/08/2022 0 Comments

MABADILIKO Ufunguzi Kombe la DuniaSHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limebadilisha tarehe ya kuanza kwa Michuano ya Kombe la Dunia liliokuwa limepangwa kuanza November 21 nchini Qatar.

Nijuze Habari Application

MABADILIKO Ufunguzi Kombe la Dunia

MABADILIKO Ufunguzi Kombe la DuniaSHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limebadilisha tarehe ya kuanza kwa Michuano ya Kombe la Dunia liliokuwa limepangwa kuanza November 21 nchini Qatar.

Tarehe ya ufunguzi ya Mashindano hayo ambayo ilipaswa kuwa siku ya Jumatatu, kungekuwa na mchezo kati ya Senegal dhidi ya Uholanzi.

Hata hivyo, baada ya maombi kutoka kwa wenyeji Qatar Baraza linalosimamia Mashindano hayo limeridhia kurudisha siku moja nyuma ili wenyeji wafungue pazia hilo Jumapili ya November 20 wakicheza dhidi ya Ecuador.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.