MABADILIKO ya muda Tanzania vs Uganda 28 March 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


MABADILIKO ya muda Tanzania vs Uganda 28 March 2023
MABADILIKO ya muda Tanzania vs Uganda 28 March 2023, Tanzania vs Uganda Prediction,Tanzania vs Uganda head to head,Tanzania vs Uganda AiScore,Tanzania vs Uganda match Today,Tanzania – Uganda – 28.03 Tue,Uganda vs Tanzania Football,DOWNLOAD Nijuze TV App Utazame Mechi LIVE

MABADILIKO ya muda Tanzania vs Uganda 28 March 2023
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeridhia mechi kati ya timu ya Tanzania dhidi ya Uganda kuchezwa Saa 2:00 usiku kesho Jumanne kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Tanzania watakuwa wenyeji wa Uganda The Cranes kesho katika mchezo wa Kundi F kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) ikihitaji Ushindi wowote ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu.MSIMAMO Group F Africa Cup Of Nations Qualification 2023

MABADILIKO ya muda Tanzania vs Uganda 28 March 2023
Katika mchezo uliopita Tanzania ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Suez Canal Mjini Ismailia nchini Misri.
Kwa sasa Taifa Stars inashika nafasi ya pili kwenye Msimamo wa Kundi F ikiwa na pointi nne, nyuma ya Algeria yenye pointi tisa, huku Niger ikifuatia kwa pointi zake mbili na Uganda yenye pointi moja baada ya timu zote kucheza mechi tatu.
UNAWEZA PIA KUSOMA👇
- MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: MABADILIKO ya muda Tanzania vs Uganda 28 March 2023, Tanzania - Uganda - 28.03 Tue, Tanzania vs Uganda AiScore, Tanzania vs Uganda head to head, Tanzania vs Uganda match Today, Tanzania vs uganda prediction, Uganda vs Tanzania Football