MABADILIKO ya Ratiba raundi ya 29 na 30 NBC Premier League 2022/2023

Filed in Michezo by on 21/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA

VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

MABADILIKO ya Ratiba raundi ya 29 na 30 NBC Premier League 2022/2023

MABADILIKO ya Ratiba raundi ya 29 na 30 NBC Premier League 2022/2023,Msimamo NBC Premier League,Simba NBC Premier League fixtures,NBC League table,NBC fixtures,Yanga NBC Premier League fixtures,Ligi Kuu Bara 2022/2023 live scores, results, Football Tanzania,NBC Premier League 2022/2023 Table & Standings, NBC Premier League, NBC Premier League 2023,Tanzania Premier League.

MABADILIKO ya Ratiba raundi ya 29 na 30 NBC Premier League 2022/2023

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa taarifa kuwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/2023 zitacheza michezo yao ya mwisho (mzunguko wa 30) Juni 9, 2023 ili kutoa nafasi kwa klabu ya Young Africans kucheza michezo yake miwili ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika Mei 28 na Juni 3, 2023 dhidi ya klabu ya USM Algiers ya nchini Algeria.

Kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC iliyotumwa kwa klabu hivi karibuni na kutangazwa kwa umma, michezo ya mwisho kwa klabu zote (ukiondoa Tanzania Prisons na Young Africans) ilipangwa kufanyika Mei 28, 2023.

Aidha Bodi imelazimika kufanya mabadiliko hayo baada ya majadiliano ya ndani yaliyojikita katika kuhakikisha uwepo wa haki na usawa michezoni kwa kuondoa mazingira yanayoweza kuchangia upangaji wa matokeo katika michezo hiyo.

MABADILIKO ya Ratiba raundi ya 29 na 30 NBC Premier League 2022/2023,Msimamo NBC Premier League,Simba NBC Premier League fixtures,NBC League table,NBC fixtures,Yanga NBC Premier League fixtures,Ligi Kuu Bara 2022/2023 live scores, results, Football Tanzania,NBC Premier League 2022/2023 Table & Standings, NBC Premier League, NBC Premier League 2023,Tanzania Premier League.

MABADILIKO ya Ratiba raundi ya 29 na 30 NBC Premier League 2022/2023

Mabadiliko hayo yanakwenda sambamba na mabadiliko ya tarehe ya michezo ya mzunguko wa 29 ambapo sasa timu zote zitacheza Juni 6, 2023.

Bodi inatambua kuwa klabu zilianza kufanya maandalizi ya michezo hiyo kwa tarehe zilizotangazwa awali na kwa masikitiko inafahamu kuwa mabadiliko haya yanaweza kuathiri maandalizi hayo kwa namna moja ama nyingine.

Hata hivyo, Bodi inapenda kuufahamisha umma kuwa imelazimika kufanya mabadiliko hayo kwa maslahi mapana ya Ligi na mpira wetu kwa ujumla.

Bodi inazitakia klabu zote maandalizi mema ya michezo iliyosalia na kila la kheri katika kukamilisha msimu wa 2022/2023.

MABADILIKO ya Ratiba raundi ya 29 na 30 NBC Premier League 2022/2023, Msimamo NBC Premier League,Simba NBC Premier League fixtures,NBC League table,NBC fixtures,Yanga NBC Premier League fixtures,Ligi Kuu Bara 2022/2023 live scores, results, Football Tanzania,NBC Premier League 2022/2023 Table & Standings, NBC Premier League, NBC Premier League 2023,Tanzania Premier League.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *