Nijuze Habari

MADILIKO ya namba Yanga SC, Pre-Season yaanza AVIC Town

Filed in Michezo by on 24/07/2022 0 Comments

Joyce Lomalisa mutambala rasmi atavaa jezi nambari 13 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Ramadhani Kabwili.

Nijuze Habari Application

MADILIKO ya namba Yanga SC, Pre-Season yaanza AVIC Town

Joyce Lomalisa mutambala rasmi atavaa jezi nambari 13 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Ramadhani Kabwili.

Maandalizi ya msimu mpya Yanga SC AVIC Town, KigamboniStephanie Aziz KI rasmi atavaa jezi nambari 10 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Yacouba Songné.

Lazarous kambole rasmi atavaa jezi nambari 7 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Mapinduzi Balama ambaye kwa Sasa amemaliza mkataba wake na Yanga SC.

Yusuph athumani rasmi atavaa jezi nambari 14 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Paulo Godfrey boxer ambaye amejiunga na Singida Big Star ya Singida.

David Bryson rasmi atavaa jezi nambari 21 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Yusuph Athuman.

Benard Morrison ramsi atavaa jezi nambari 33 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Davidi Bryson.

Gaël Bigirimana rasmi atavaa jezi nambari 27 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Deus Kaseke ambaye amejiunga na Singida Big Star.

Aidha Kikosi cha Yanga SC jana Jumamosi July 23,2022 kimeanza rasmi mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2022/2023 katika maskani ya AVIC Town, Kigamboni ilipoweka kambi.

Maandalizi ya msimu mpya Yanga SC AVIC Town, Kigamboni

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.