Mahlatse Makudubela Skudu atambulishwa Yanga SC
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
MAHLATSE Makudubela Skudu atambulishwa Yanga SC

MAHLATSE Makudubela Skudu atambulishwa Yanga SC
MAHLATSE Makudubela Skudu atambulishwa Yanga SC, Klabu ya Yanga SC imetangaza kukamilisha Usajili wa winga, Mahlatse Makudubela Skudu raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 33 kutoka Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwa mkataba wa mwaka mmoja kama Mchezaji huru.
Winga huyo anayetumia hasa mguu wa kushoto alikuwa miongoni mwa wachezaji muhimu walioifikisha Marumo hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita ambayo walipoteza dhidi ya Yanga kwa jumla ya mabao 4-1 katika mechi zote mbili.
Mahlatse Makudubela Skudu ndiye aliyepewa jezi nambari 6 ambayo iliachwa wazi na kiungo Mzanzibar, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ aliyeuzwa Azam FC.
Winga huyo anaweka rekodi ndani ya Yanga ya kuwa Mchezaji wa kwanza raia wa Afrika Kusini kuwachezwa Mabingwa hao Watetezi wa Ligi Kuu ya NBC na Kombe la Shirikisho la Azam.
Mahlatse Makudubela Skudu anakuwa Mchezaji mpya wa Sita wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024 baada ya usajili wa beki wa Kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast.
Wengine ni Kiungo Mshambuliaji, Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema Union ya kwao DR Congo na Kiungo Mkabaji Jonas Mkude kutoka Simba SC.
Wengine ni beki, Gift Fred Giggy kutoka SC Villa ya kwao Uganda na kiungo Mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC ya Singida.
MAHLATSE Makudubela Skudu atambulishwa Young Africans, Mahlatse Makudubela atambulishwa Yanga SC, Mahlatse Makudubela Skudu Yanga, Mahlatse Makudubela Skudu atua Yanga sc, Mahlatse Makudubela Skudu Yanga SC, Mahlatse Makudubela Skudu Young Africans.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Mahlatse Makudubela Skudu Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Mahlatse Makudubela Skudu, Yanga yamsajili Mahlatse Makudubela Skudu kutoka Malumo Gallants,Mahlatse Makudubela Skudu Yanga SC, Mahlatse Makudubela Skudu Young Africans SC,Mahlatse Makudubela Skudu ni Mwananchi.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: Mahlatse Makudubela atambulishwa Yanga SC, MAHLATSE Makudubela Skudu atambulishwa Yanga SC, Mahlatse Makudubela Skudu atua Yanga sc, Mahlatse Makudubela Skudu Mchezaji mpya wa Young Africans, Mahlatse Makudubela Skudu ni Mwananchi., Mahlatse Makudubela Skudu Yanga, Mahlatse Makudubela Skudu Yanga SC, Mahlatse Makudubela Skudu Young Africans, Mahlatse Makudubela Skudu Young Africans SC, Yanga yamsajili Mahlatse Makudubela Skudu, Yanga yamsajili Mahlatse Makudubela Skudu kutoka Malumo Gallants