MAJINA 3765 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya UANAGENZI vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


MAJINA 3765 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya UANAGENZI vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023

MAJINA 3765 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya UANAGENZI vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023
Ni kwa wale waliotuma maombi ya Mafunzo ya Uanagenzi,Call For Mafunzo ya Uanagenzi kwa Vijana 2023,MAJINA ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya Uanagenzi vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023,MAJINA 3765 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya Uanagenzi vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023
KUITWA KUANZA MAFUNZO YA UFUNDI NA STADI ZA KAZI KATIKA FANI MBALIMBALI KWA NJIA YA UANAGENZI.
Itakumbukwa kuwa tarehe 22 Februari, 2023 Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (OWM – KVAU) ilitangaza fursa za mafunzo ambayo yatatolewa katika taasisi za mafunzo zilizotangazwa.

MAJINA 3765 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya UANAGENZI vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu inapenda kuutaarifu umma kuwa jumla ya vijana 3,765 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo 28 nchini.
Majina ya vijana waliochaguliwa yamebandikwa kwenye mbao za matangazo za vyuo husika na katika tovuti ya www.kazi.go.tz.
Vijana waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwaajili ya kujisajili kuanza mafunzo kuanzia tarehe 15 Mei, 2023.
Mafunzo yanayotolewa ni ya kutwa. Mikoa na vyuo husika ni kama ifuatavyo:
BONYEZA LINK HII KUSOMA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI NA STADI ZA KAZI KWA NJIA YA UANAGENZI
VETA –
ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA,www.kazi.go.tz application form,Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Vyuo vya ufundi,Tangazo la Kuitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani Mbalimbali kwa Njia ya Uanagenzi
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Call For Mafunzo ya Uanagenzi kwa Vijana 2023, MAJINA 3765 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya UANAGENZI vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023, Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Vyuo vya ufundi, MAJINA ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya Uanagenzi vyuo Mbalimbali vya Serikali May 2023, Ni kwa wale waliotuma maombi ya Mafunzo ya Uanagenzi, Tangazo la Kuitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani Mbalimbali kwa Njia ya Uanagenzi, VETA - ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA, www.kazi.go.tz application form