MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 19 May 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 19 May 2023

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 19 May 2023
Katibu wa Bunge, kwa niaba ya Sekretarieti ya Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 27 Mei, 2023 hadi 03 Juni, 2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Usaili utafanyika kuanzia tarehe 27 Mei, 2023 hadi 03 Juni, 2023 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
- Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI BUNGENI DOWNLOAD PDF HERE
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Korogwe (KUWASSA), Shirika la Posta Tanzania (TPC), Workers Compensation Fund (WCF) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2023-05-20 hadi 2023-05-24 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 19 May 2023
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
viii. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili. - Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
- Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.
ORODHA YA MAJINA YA NYONGEZA KWA TAASISI MBALIMBALI DOWNLOAD PDF HERE
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji wote wa kazi zilizotangazwa kupitia tangazo lenye Kumb. Na. CA.434/463/01/104 la tarehe 25 Aprili, 2023, kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 27 Mei 2023 na tarehe 29 Mei, 2023 katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili wa mtihani wa kuandika (written interview) utafanyika tarehe 27 Mei, 2023 kama inavyoonekana kwenye kada husika saa 1:00 kamili asubuhi.
- Usaili wa mahojiano ya ana kwa ana (Oral Interview) utafanyika tarehe 29 Mei, 2023 kama inavyoonekana kwenye kada husika saa 1:00 kamili asubuhi.
- Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
- Vitambulisho vitakavyokubalika siku ya usaili ni pamoja na:- Kitambulisho cha mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha uraia (NIDA), Hati ya kusafiria au Leseni ya Udereva.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, Kidato cha VI na Shahada kutegemeana na mahitaji ya tangazo la kazi na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials; Matokeo ambayo hayajakamilika (Provisional Statement of Results) au hati za matokeo za kidato cha IV na VI (Results Slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. 7. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU, NACTE au NECTA).
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUST DONWLOAD PDF FILE HERE
KUITWA KAZINI,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI PDF DOWNLOAD | Ajira PORTAL Call for Interview,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 | Call for interview ajira portal,Call for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) May 2023 Ajira Portal Call for interview 2023,Tangazo LA kuitwa KWENYE usaili 2023,Call for Interview Ajira PORTAL,Ajira Portal,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Tangazo LA kuitwa KWENYE usaili 2023,Names Called For Interview at UTUMISHI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Ajira portal, Call for Interview Ajira Portal, Call for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) May 2023 Ajira Portal Call for interview 2023, KUITWA KAZINI, Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 | Call for interview ajira portal, MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 19 May 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI PDF DOWNLOAD | Ajira PORTAL Call for Interview, Names Called For Interview at UTUMISHI 2023, Tangazo LA kuitwa KWENYE usaili 2023