Nijuze Habari App

MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023

Filed in Ajira, Michezo by on 10/05/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023

MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023,Call For Work At Utumishi Today May 2023,Ajira portal news Today,Call for Interview Ajira PORTAL,Utumishi Portal,Ajira portal login,Ajira Portal,Public Service Recruitment Portal,Tangazo la Ajira TAMISEMI 2023,Ajira Mpya za walimu zilizotangazwa leo,NAFASI ZA kazi mashirika binafsi 2023,Nafasi za kazi zilizotangazwa leo 2023 Nafasi za kazi wiki hii,MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo.

MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023

MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023, kama umewahi kufanya interview UTUMISHI hivi karibuni basi hii inakuhusu.

ANGALIA majina ya Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 22-25/10/2022, 07-28/11/2022, 13- 08/12/2022 na 02-20/02/2023, kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina hayo pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023 Donwload PDF

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na kuja na Kitambulisho kinachotambulika.

MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 2023,Call For Work At Utumishi Today May 2023,Ajira portal news Today,Call for Interview Ajira PORTAL,Utumishi Portal,Ajira portal login,Ajira Portal,Public Service Recruitment Portal,Tangazo la Ajira TAMISEMI 2023,Ajira Mpya za walimu zilizotangazwa leo,NAFASI ZA kazi mashirika binafsi 2023,Nafasi za kazi zilizotangazwa leo 2023 Nafasi za kazi wiki hii,MAJINA Waliopangiwa Vituo vya Kazi UTUMISHI Leo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *