LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

MAJINA ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania awamu ya Pili April 2023

Filed in Ajira by on 01/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

MAJINA ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania awamu ya Pili April 2023

MAJINA ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania awamu ya Pili April 2023, MAJINA ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania 2023,Orodha ya majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi 2023,Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi awamu wa Pili 2023,Majina waliochaguliwa kujiunga na Jeshi awamu ya pili 2023,Polisi Tanzania website,Majina ya polisi.

TANGAZO LA KURIPOTI SHULE YA POLISI MOSHI KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION)

MAJINA ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania 2023,Orodha ya majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi 2023,Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na jeshi la Polisi awamu wa Pili 2023,Majina waliochaguliwa kujiunga na Jeshi awamu ya pili 2023,Polisi Tanzania website,Majina ya polisi.

MAJINA ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania awamu ya Pili April 2023

Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa awamu ya pili (Second Selection) kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi kuanzia tarehe 03/05/2023 hadi tarehe 08/05/2023 kwaajili ya kuhudhuria mafunzo.

Vijana wote waliofanyia usaili Makao Makuu ya Polisi, Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa tarehe tajwa hapo juu.

Atakaye ripoti baada ya tarehe 08/05/2023 hatopokelewa na atahesabika amejiondoa mwenyewe kwenye mafunzo.

Aidha, vijana wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi wakiwa na vifaa vifuatavyo:

Track suti rangi ya blue yenye ufito mweupe, t-shirt nyeupe isiyo na maandishi, raba, soksi nyeusi, bukta za blue kwa ajili ya michezo na mazoezi pamoja na sanduku la chuma (Tranka) la rangi ya blue.MAJINA ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania awamu ya Pili April 2023

  • Chandarua cheupe cha duara na sio cha pembe nne, shuka za light blue jozi mbili (Shuka 4), blanket moja la kijivu lisilo na maua na pasi ya mkaa.
  • Vifaa vya usafi: kwanja, jembe lenye mpini, ndoo ndogo mbili, fagio la chelewa.
  • Kadi ya bima ya Afya (NHIF) au fedha taslimu Tsh.50,400/= kwa wasio na kadi za bima ya Afya.
  • Vyeti halisi vya taaluma (Original Academic Certificates), cheti halisi cha JKT/JKU, cheti halisi cha kuzaliwa, kadi ya NIDA au namba ya NIDA, passport size 06 (background blue), na nakala (copy) 5 kwa kila cheti kilichoainishwa hapo juu.
  • Fedha ya kujikimu.

FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)

Simu za mkononi haziruhusiwi chuoni, hivyo ni marufuku kuripoti Shule ya Polisi Moshi na simu ya mkononi.

Yeyote atakaepatikana na simu itachukuliwa kuwa ni utovu wa nidhamu na adhabu yake ni kufukuzwa mafunzo mara moja, Shule itaelekeza utaratibu wa kupata mawasiliano.

Orodha ya vijana waliochaguliwa kwa awamu ya pili (second selection) imeambatishwa kwenye tangazo hili hapa chini;

ORODHA ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania awamu ya Pili April 2023 Download) PDF

Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, S.L.P 961, DODOMA.
29/04/2023

MAJINA ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania awamu ya Pili April 2023

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *