Nijuze Habari App

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 August 2023

Filed in Ajira, New by on 11/08/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 August 2023

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 August 2023, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 30/01/2023, 15-16/02/2023, 14/05/2023 na 12-20/06/2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 August 2023, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo August 10.2023,Tangazo Kuitwa Kazini Leo 10 August Utumishi Call To Work 2023,MAJINA YA WATU WALIOITWA KAZINI(UTUMISHI WA UMMA), UTUMISHI: Majina ya Walioitwa kazini PDF Download 2023,Majina ya walioitwa kazini Utumishi wa umma 2023/2024, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI Leo August 2023 Archives, Majina ya Walioitwa kazini Utumishi | Called for Work at UTUMISHI 2023,Majina Ya Walioitwa Kazini UTUMISHI PDF Download 2023,Tangazo LA KUITWA KAZINI,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,Majina ya walioitwa kazini 2023,Ajira portal.Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 August 2023

DOWNLOAD PDF FILE ONE HERE

DOWNLOAD PDF FILE TWO HERE

NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na kuja na Kitambulisho kinachotambulika.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 August 2023, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo August 10.2023,Tangazo Kuitwa Kazini Leo 10 August Utumishi Call To Work 2023,MAJINA YA WATU WALIOITWA KAZINI(UTUMISHI WA UMMA), UTUMISHI: Majina ya Walioitwa kazini PDF Download 2023,Majina ya walioitwa kazini Utumishi wa umma 2023/2024, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI Leo August 2023 Archives, Majina ya Walioitwa kazini Utumishi | Called for Work at UTUMISHI 2023,Majina Ya Walioitwa Kazini UTUMISHI PDF Download 2023,Tangazo LA KUITWA KAZINI,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,Majina ya walioitwa kazini 2023,Ajira portal.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *