MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 24 May 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 24 May 2023

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 24 May 2023
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 27/09/2022, 25/10/2022, 23/11/2022, 06/12/2022 na 04-19/02/2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo 24 May 2023 Download PDF

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 24 May 2023
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/ hawakufaulu usaili,hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kaziz itakapotangazwa.
NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na kuja na Kitambulisho kinachotambulika.
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 24 May 2023, Majina ya walioitwa kwenye interview,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,Walioitwa kazini utumishi 2023,UTUMISHI Majina ya Walioitwa kazini PDF Download 2023,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI May 24 2023,Call For Work at UTUMISHI May 24 2023, Walioitwa kazini utumishi 2023, Public Service Recruitment Portal,Ajira portal login,Utumishi Portal,Ajira Portal,Ajira portal news,List of the Names Called For Work at UTUMISHI | The Public Service May 24 2023,Names Called for Work Released by UTUMISHI Today 24 May 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Ajira portal, Ajira Portal Login, Ajira portal News, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI May 24 2023, Call For Work at UTUMISHI May 24 2023, List of the Names Called For Work at UTUMISHI | The Public Service May 24 2023, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2023, MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 24 May 2023, Majina ya walioitwa kwenye interview, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023, Names Called for Work Released by UTUMISHI Today 24 May 2023., Public Service Recruitment Portal, UTUMISHI Majina ya Walioitwa kazini PDF Download 2023, Utumishi portal, Walioitwa kazini Utumishi 2023