Nijuze Habari App

MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023

Filed in Ajira, New by on 10/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023

MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023,Call For Work at UTUMISHI June 2023, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI June 2023,Called for Work Released by UTUMISHI Today 09th June 2023,News Update Public Service Recruitment Secretariat June 2023,Names Called for Work Released by UTUMISHI Today 09th June 2023,Call for Interview Ajira Portal June 2023,Ajira PORTAL Call for interview 2023,WALIOITWA KWENYE USAILI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI June 2023,Ajira portal,Names of Applicants Called for Interview June 2023,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI June 2023,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 | www.utumishi.go.tz June 2023,Tangazo La Kuitwa Kazini Utumishi Call To Work 2023 - Nijuze Habari,Call For Work at UTUMISHI March 2023.

MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023

MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 07-28/11/2022, 08/12/2022, 07-17/01/2023 na 13-19/02/2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na kuja na Kitambulisho kinachotambulika.

MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023,Call For Work at UTUMISHI June 2023, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI June 2023,Called for Work Released by UTUMISHI Today 09th June 2023,News Update Public Service Recruitment Secretariat June 2023,Names Called for Work Released by UTUMISHI Today 09th June 2023,Call for Interview Ajira Portal June 2023,Ajira PORTAL Call for interview 2023,WALIOITWA KWENYE USAILI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI June 2023,Ajira portal,Names of Applicants Called for Interview June 2023,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI June 2023,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 | www.utumishi.go.tz June 2023,Tangazo La Kuitwa Kazini Utumishi Call To Work 2023 - Nijuze Habari,Call For Work at UTUMISHI March 2023.MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023,Call For Work at UTUMISHI June 2023.

To undertake recruitment of Public servants using modern approaches by adhering to principles of equity, transparency and merits as well as providing advice to employers on employment related matters.

Functions of Public Service Recruitment Secretariat

The major role of PSRS is to facilitate recruitment in the Public Service. According to the Public Service Cap. 298 of 2002 as amended by Amendment Act No. 18 of 2007 section 29 (1), the functions of PSRS are:-

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
 • Search for various professionals with special skills and prepare database for such professionals for easier recruitment;
 • Register graduates and professionals for purposes of ease of reference of filling vacant posts;
 • Advertise vacant posts occurring in the public service;
 • Engage appropriate experts for purposes of conducting interviews
 • Advise employers on various matters related to recruitment, and
 • Do any other act or thing which may be directed by the Minister responsible for Public Service.

The core values of PSRS cornerstones of work performance and conduct in adaptation to changes in society, government, politics, and technology. The following were PSRS core values:-

 • Pursuit of excellence in service delivery.
 • Loyalty to Government.
 • Diligence.
 • Integrity.
 • Courtesy to all.
 • Respect for the law, and
 • Proper use of official information

Human resource is an ankle and significant factor in public service delivery, thus, PSRS has been given a role of recruiting public servants in fair, transparent, and timely manner; while observing and guaranteeing quality and access to all applicants in order to deliver equitable Public Service in Tanzania. Our aim is to improve government public Service on issues concerning recruitment process According to our rules and regulations and at the same time enhance good relations with Our stakeholders.

As we all know that the government motto is to enhance transparency and accountability to the public. The PSRS will enable Ministries, Independent Departments and Agencies, Regional Secretariats, Local Government Authorities and other Public Institutions to acquire human resources with relevant competencies by adhering to principles of fairness, impartiality, transparency and meritocracy in the public service of Tanzania.

It is therefore expected that, by adhering to the above principles; the public service in Tanzania will be of high standard and hence contribute to the growth of the national economy in line with the Vision 2025.

MAJINA ya walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 2023,Call For Work at UTUMISHI June 2023, Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI June 2023,Called for Work Released by UTUMISHI Today 09th June 2023,News Update Public Service Recruitment Secretariat June 2023,Names Called for Work Released by UTUMISHI Today 09th June 2023,Call for Interview Ajira Portal June 2023,Ajira PORTAL Call for interview 2023,WALIOITWA KWENYE USAILI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI June 2023,Ajira portal,Names of Applicants Called for Interview June 2023,Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI June 2023,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 | www.utumishi.go.tz June 2023,Tangazo La Kuitwa Kazini Utumishi Call To Work 2023 – Nijuze Habari,Call For Work at UTUMISHI March 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

 

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *