LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023

Filed in Ajira by on 25/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023,Mzumbe University | Chuo Kikuu Mzumbe,Www UDSM ac tz login My account,Ajira portal,Majina ya walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU 2023,Usaili DUCE,MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023,Ajira UDSM 2023,Matokeo ya vyuo UDSM,Call For Interview at University Of Dar es salaam UDSM May 2023,Majina ya walioitwa KWENYE USAILI DUCE,Usaili DUCE,Ajira portal,DUCE website,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM October 2023,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM & DUCE,call for interview-academic staff.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada za wanataaluma kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 30 Mei, 2023 hadi tarehe 6 Juni, 2023.

Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1:Usaili utafanyika tarehe 30 Mei, 2023 hadi tarehe 6 Juni, 2023 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili.

  • Muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
    Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi.
  • Kitambulisho cha Taifa, Hati ya Kusafiria au Leseni ya udereva.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi, kuanzia cheti cha Kuzaliwa, Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasaili wa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo za Kidato cha IV na VI (Form IV and Form VI result slips) HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Usaili wa mahojiano utajumuisha uwasilishaji wa mada.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NECTA).
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.
  • Wasailiwa wenye tofauti ya majina katika vyeti vya elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa wahakikishe wanakuwa na kiapo cha kubadilisha majina kilichosajiliwa (DEED POLL).
  • Wasailiwa waliozaliwa nje ya Tanzania wahakikishe wanawasilisha uthibitisho wa uraia
    kutoka Ofisi za Uhamiaji.
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023,Mzumbe University | Chuo Kikuu Mzumbe,Www UDSM ac tz login My account,Ajira portal,Majina ya walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU 2023,Usaili DUCE,MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023,Ajira UDSM 2023,Matokeo ya vyuo UDSM,Call For Interview at University Of Dar es salaam UDSM May 2023,Majina ya walioitwa KWENYE USAILI DUCE,Usaili DUCE,Ajira portal,DUCE website,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM October 2023,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM & DUCE,call for interview-academic staff.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023 Download PDF

Mzumbe University | Chuo Kikuu Mzumbe,Www UDSM ac tz login My account,Ajira portal,Majina ya walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU 2023,Usaili DUCE,MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM Leo May 2023,Ajira UDSM 2023,Matokeo ya vyuo UDSM,Call For Interview at University Of Dar es salaam UDSM May 2023,Majina ya walioitwa KWENYE USAILI DUCE,Usaili DUCE,Ajira portal,DUCE website,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM October 2023,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UDSM & DUCE,call for interview-academic staff.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *