Nijuze Habari App

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 11 August 2023

Filed in Ajira, New by on 11/08/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 11 August 2023

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 11 August 2023, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Electrical Transmision and Distribution Construction and Maintanance Company (ETDCO), Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Technolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST).

Anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2023-08-21 hadi 2023-09-02 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 11 August 2023, Kuitwa kwenye usaili UTUMISHI wa Umma Leo August 2023 - Call for interview,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi August 2023 PDF Download,MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 11 August 2023,Majina walioitwa kwenye Usaili Utumishi 2023,Majina ya walioitwa kwenye usaili UTUMISHI 2023, Majina YA walioitwa kwenye usaili TRC,Ajira portal,Walioitwa kwenye USAILI halmashauri mbalimbali 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,ajira.go.tz,
http://ajira.go.tz, KUITWA KAZINI.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
  • Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.
  • Nijuze TV – Angalia Mpira LIVE
  • FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI AUGUST 11,2023 DOWNLOAD PDF FILE HERE

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 11 August 2023, Kuitwa kwenye usaili UTUMISHI wa Umma Leo August 2023 – Call for interview,Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi August 2023 PDF Download,MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo 11 August 2023,Majina walioitwa kwenye Usaili Utumishi 2023,Majina ya walioitwa kwenye usaili UTUMISHI 2023, Majina YA walioitwa kwenye usaili TRC,Ajira portal,Walioitwa kwenye USAILI halmashauri mbalimbali 2023, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,ajira.go.tz,
http://ajira.go.tz, KUITWA KAZINI.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *