Nijuze Habari App

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023

Filed in Ajira, Michezo, New by on 13/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023,majina Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo tarehe 13 June 2023,UTUMISHI: Thousands of Names Called for Interview at Various,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI PDF,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 - Call for interview,Ajira portal news today,Ajira portal,WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Ajira Portal Call for interview 2023.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023,Call For Interview For At UTUMISHI, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji kazi wote walioomba kazi kwa nafasi ya Afisa wa Sheria Daraja la Pili (Legal Officer II) kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 14 – 15/06/2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023 Donwload PDF

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023,majina Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo tarehe 13 June 2023,UTUMISHI: Thousands of Names Called for Interview at Various,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI PDF,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 - Call for interview,Ajira portal news today,Ajira portal,WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Ajira Portal Call for interview 2023.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
  • Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Leo 13 June 2023,majina Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Leo tarehe 13 June 2023,UTUMISHI: Thousands of Names Called for Interview at Various,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI PDF,Kuitwa kwenye usaili utumishi wa umma 2023 – Call for interview,Ajira portal news today,Ajira portal,WALIOITWA KWENYE USAILI Dodoma 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Ajira Portal Call for interview 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *