MAJINA ya walioitwa kwenye usaili UTUMISHI Leo tarehe 12 May 2023

Filed in Ajira by on 12/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

MAJINA ya walioitwa kwenye usaili UTUMISHI Leo tarehe 12 May 2023

MAJINA ya walioitwa kwenye usaili UTUMISHI Leo tarehe 12 May 2023,Utumishi Portal,Ajira portal login,Ajira portal news Today,Ajira Portal Call for interview 2023,Ajira Portal,Ajira portal updates,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Ajira Portal,Tangazo LA kuitwa kwenye usaili utumishi,Walioitwa KWENYE USAILI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI UTUMISHI 12 May 2023.

MAJINA ya walioitwa kwenye usaili UTUMISHI Leo tarehe 12 May 2023

KATIBU wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 2023-05-14 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
  • Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.

MAJINA ya walioitwa kwenye usaili UTUMISHI Leo tarehe 12 May 2023,Utumishi Portal,Ajira portal login,Ajira portal news Today,Ajira Portal Call for interview 2023,Ajira Portal,Ajira portal updates,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Ajira Portal,Tangazo LA kuitwa kwenye usaili utumishi,Walioitwa KWENYE USAILI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI UTUMISHI 12 May 2023.Call For Interview at UTUMISHI Today 12 May 2023

Utumishi Portal,Ajira portal login,Ajira portal news Today,Ajira Portal Call for interview 2023,Ajira Portal,Ajira portal updates,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,Ajira Portal,Tangazo LA kuitwa kwenye usaili utumishi,Walioitwa KWENYE USAILI 2023,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2023,MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI UTUMISHI 12 May 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *