Nijuze Habari App

MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Taasisi ya Ngorongoro (NCAA) May 2023

Filed in Ajira by on 27/05/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Taasisi ya Ngorongoro (NCAA) May 2023

MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Taasisi ya Ngorongoro (NCAA) May 2023, Call For Interview at Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) May 2023,Ngorongoro Crater,Nafasi za kazi 2023 Tanzania,Ajira portal madereva 2023,Call For Interview PCCB 2023,Ngorongoro Conservation Area Authority pdf,Mkulazi Holding Company Interview 2023,Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) - Tanzania,Job Vacancies at Ngorongoro Conservation Area May 2023,Driving Jobs at Ngorongoro Conservation Area Authority May 2023.

Job Vacancies at Ngorongoro Conservation Area March 2023

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 03-06-2023 hadi 23- 06-2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Taasisi ya Ngorongoro (NCAA) May 2023 Donwload PDF

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask) iii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la usaili.

MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI Taasisi ya Ngorongoro (NCAA) May 2023, Call For Interview at Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) May 2023,Ngorongoro Crater,Nafasi za kazi 2023 Tanzania,Ajira portal madereva 2023,Call For Interview PCCB 2023,Ngorongoro Conservation Area Authority pdf,Mkulazi Holding Company Interview 2023,Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) – Tanzania,Job Vacancies at Ngorongoro Conservation Area May 2023,Driving Jobs at Ngorongoro Conservation Area Authority May 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *