LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023

Filed in Ajira by on 03/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2023, Sekretarieti ya Ajira,Ajira portal,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,ajira.go.tz
http://ajira.go.tz, KUITWA KAZINI,AJIRA LEO.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2023, Sekretarieti ya Ajira,Ajira portal,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,ajira.go.tzhttp://ajira.go.tz, KUITWA KAZINI,AJIRA LEO.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 25/10/2022, 07-24/11/2022, 01-13/12/2022, 17/01/2023 na 02-20/02/2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2023, Sekretarieti ya Ajira,Ajira portal,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,ajira.go.tzhttp://ajira.go.tz, KUITWA KAZINI,AJIRA LEO.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2023, Sekretarieti ya Ajira,Ajira portal,Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI,ajira.go.tz http://ajira.go.tz, KUITWA KAZINI,AJIRA LEO.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa na kuja na Kitambulisho kinachotambulika.

Download PDF Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 3 May 2023

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *