Nijuze Habari

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2022

Filed in Habari by on 12/05/2022 0 Comments

BOFYA HAPA First Selection, 2022OFISI YA RAIS – TAMISEMI

Nijuze Habari Application

BOFYA HAPA First Selection, 2022OFISI YA RAIS – TAMISEMI

UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2022

Wanafunzi 153,219 wakiwemo wasichana 67,541 na wavulana 85,678 sawa na asilimia 91.8 ya wenye sifa, wamechaguliwa kujiunga na Shule za sekondari Kidato cha Tano, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Elimu ya Ufundi mwaka, 2022.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi OR -TAMISEMI Innocent Bashungwa wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka 2022.
“Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa kidato cha tano utaanza tarehe 13 Juni, 2022. Hivyo, wanafunzi wote wanapaswa kuanza kuripoti katika shule walizopangiwa kuanzia tarehe 13 June, 2022. Siku ya mwisho ya kuripoti itakuwa tarehe 30 June, 2022,” Waziri Bashungwa.
Students selected to join form five and Technical Colleges 2022/23 academic year -Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Tano  mwaka wa masomo 2022/2023, Vyuo vya Elimu, Vyuo vya Ufundi.

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2022

BOFYA HAPA CHINI KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA.


CHAGUA MKOA ULIKOSOMA

ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA
GEITA IRINGA KAGERA
KATAVI KIGOMA KILIMANJARO
LINDI MANYARA MARA
MBEYA MOROGORO MTWARA
MWANZA NJOMBE PWANI
RUKWA RUVUMA SHINYANGA
SIMIYU SINGIDA SONGWE
TABORA TANGA
telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.