MAJINA ya Washindi wa twenzetu kwa MADIBA

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


MAJINA ya Washindi wa twenzetu kwa MADIBA

MAJINA ya Washindi wa twenzetu kwa MADIBA
KLABU ya Young Africans ilitangaza fulsa kwa watu 10 kusafiri na kikosi kuelekea Afrika Kusini kushuhudia mchezo wa mkondo wa pili Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2022/2023) kati ya Marumo Galants dhidi ya Young Africans ambao utapigwa May 17,2023.
Washindi wa Safari hiyo tayari wamepatikana kupitia Droo Kubwa ya Twenzetu kwa MADIBA iliyokuwa inafanyika kila siku.
Washindi hao wamepatikana kupitia Shindano ambalo lilifanyika Kupitia Menu ya malipo kwenye simu za mikononi, ambapo ulikuwa unachagua LIPA BILI kwenye Simi yako, kisha unaingiza namba ya kampuni 553111.
Namba ya kumbukumbu unaandika YANGA au 111 kisha uweka kiasi cha Shilingi 2,000 tu alafu unthibitisha malipo yako na kuingiza nambari ya siri.
Kadiri ulivyokuwa unavyoshiriki mara nyingi ndivyo ulivyokuwa unajiongezea nafasi ya kushinda Safari hiyo.
Hii ni listi ya Wananchi 10 walioshinda safari hiyo
1:Hussein Misembe – Dar es salaam
2:Mohamed Kisaka – Mbeya
3:Christopher Mdibwe – Geita
4:Kefa Tewele – Iringa
5:Iman Simion – Kagera
6:Said Kapacha – Dar es salaam
7:Patrick Simon – Dodoma
8:Geofrey Chapa – Rukwa
9:Dotiani Mremi – Kilimanjaro
10:Matilda Macha – Dar es salaam
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.