LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

Filed in Michezo by on 05/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

MAKIPA Vinara wa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023, Vinara wa CleanSheets NBC Premier League 2022/2023, Makipa Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu ya NBC, Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu Tanzania Bara, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Makipa Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023.

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023,Makipa Vinara wa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023, Vinara wa CleanSheets NBC Premier League 2022/2023, Makipa Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu ya NBC, Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu Tanzania Bara, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Makipa Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023, NBC Premier League, Ligi Kuu ya NBC, NBC PL Updates, NBC PL,Goalkeeper clean sheets 22 23,Kipa mwenye clean sheet nyingi NBC,Clean sheet Manula vs diara,most clean sheets in nbc 2022/23,nbc premier league clean sheets 2022/2023,Kipa bora NBC 2023,Manula Clean sheet,Vinara wa Clean sheet NBC 2023,Clean sheet NBC Premier League 2022,Clean sheet NBC 2023,Diara clean sheet,NBC Premier League statistics,most clean sheets in nbc 2022/23,Clean sheet nbc.

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

Golikipa wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra ndiye mlinda mlango mwenye Clean Sheets nyingi zaidi kwenye Ligi kuu ya NBC mpaka sasa ambapo amefikisha Clean Sheets 15.

Djigui Diarra Yanga SC & Malian

Djigui Diarra Yanga SC & Malian

Golikipa huyo raia wa Mali ameifikia rekodi yake ya Msimu uliopita wa 2021/2022 alipofikisha Clean Sheets 15 na kuibuka golikipa Bora.

Golikipa wa Simba SC, Aishi Manula anafuatia akiwa na Clean Sheets 12 huku nafasi ya 3 ikishikiliwa na Al Ahamada wa Azam FC mwenye Clean Sheets 8.

Aishi Salum Manula Simba SC & Tanzania

Aishi Salum Manula Simba SC & Tanzania

Manula ndiye Golikipa nambari 1 wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) ambapo amekuwa na kiwango kizuri sana takribani miaka yote ya uchezaji wake toka akiwa Azam na sasa akiwa Simba.

Pia golikipa huyo amechukua tuzo nyingi za golikipa bora mara kwa hapa Tanzania baada ya kuwa na mfululizo wa ubora, japokuwa msimu uliopita alipitwa na mlinda mlango wa Yanga Djigui Diara.

Hii hapa listi ya Magolikipa wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu goli langoni mwao (clean sheets) hadi kufikia 13 April 2023.

1:Djigui Diarra – Yanga SC = 16.
2:Aishi Manula – Simba SC = 12.
3:Ali Ahmada – Azam FC = 8.
4:Metacha Mnata – Yanga SC = 7.
5.Mohmoud Mroivili – Coastal Union = 6.
6:Said Kipao – Kagera Sugar FC = 6.

Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023, Aishi Manula, Djigui Diarra, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Ligi Kuu 2022/2023, vinara Clean sheets NBC, NBC Premier League Makipa Bora, Rekodi za Makipa Bora 2022/2023, Cleansheet Tanzania Premier League 2022/2023, Makipa Vinara wa uokoaji NBC Premier League 2022/2023.

Makipa wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu goli, magolikipa wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kufungwa goli.

Magolikipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 2022/2023, Makipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 202/2023, Aishi Manula Simba SC, Djigui Diarra Yanga SC.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Goalkeeper clean sheets 22 23,Kipa mwenye clean sheet nyingi NBC,Clean sheet Manula vs diara,most clean sheets in nbc 2022/23,nbc premier league clean sheets 2022/2023,Kipa bora NBC 2023,Manula Clean sheet,Vinara wa Clean sheet NBC 2023,Clean sheet NBC Premier League 2022,Clean sheet NBC 2023,Diara clean sheet,NBC Premier League statistics,most clean sheets in nbc 2022/23,Clean sheet nbc.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *