Mambo muhimu Simba ikikamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi 2022/2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Mambo muhimu Simba ikikamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi 2022/2023
Mambo muhimu Simba ikikamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi 2022/2023, Mambo muhimu Simba ikikamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi 2022/2023, Mchezo dhidi ya Coastal Union uliopigwa December 02,2022 kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Jijini Tanga Simba wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0 ulikuwa wa mchezo wa 15 ambao ulikamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).
Feisal Salum aahidi jambo Yanga, wawili warejea, wawili kuikosa Namungo
Mpaka mzunguko wa kwanza unakamilika Klabu ya Simba SC imefanikiwa kukusanya alama 34 baada ya kucheza mechi 15, ikishinda Mechi 10, sare nne na kupoteza mchezo mmoja.
Simba pia imefanikiwa kufunga mabao 31 na kuruhusu kufungwa mabao 7 pekee ikiwa na uwiano wa mabao 24.
Wachezaji 11 wa Simba kwa pamoja ndio waliofunga idadi hiyo ya mabao huku Moses Phiri akiwa kinara baada ya kucheka na nyavu mara 10.
Hii ni listi wachezaji waliofunga katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
1:Moses Phiri – 10
2:John Bocco – 4
3:Augustine Okrah – 3
4:Pape Sakho – 3
5:Habib Kyombo – 2
6;Mzamiru Yassin – 2
7:Clatous Chama – 2
8:Dejan Georgijevic – 1
9:Jonas Mkude – 1
10:Peter Banda – 1
11:Shomari Kapombe – 1
Hii ni listi ya wachezaji waliotoa pasi za mabao (assist) kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)
1:Clatous Chama – 7
2:Mohamed Hussein – 4
3:Moses Phiri – 2
4:Mzamiru Yassin – 2
5:Mohamed Ouattara – 1
6:Kibu Denis – 1
7:Augustine Okrah – 1
8:Gadiel Michael – 1
9:Shomari Kapombe – 1
10:Jonas Mkude – 1
11:Sadio Kanoute – 1
Mlinda Aishi Manula amepata Clean Sheet 9 na ndiye kinara akiongoza makipa wote wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023).

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Mambo muhimu Simba ikikamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi 2022/2023