Nijuze Habari App

MATOKEO Al Hilal vs Azam FC 14 July 2023

Filed in Michezo, New by on 15/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MATOKEO Al Hilal vs Azam FC 14 July 2023

MATOKEO Al Hilal vs Azam FC 14 July 2023, Klabu ya Azam FC umefanikiwa kuibuka na Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan kwenye mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24 nchini Tunisia.

Mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Rades nchini Tunisia, mabao ya Azam FC yalifungwa na beki Cheikh Sidibe na mshambuliaji Alasane Diao, huku bao la tatu na la Ushindi likifungwa Prince Dube Mpumelelo.

Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa kujipima nguvu kwa Azam katika wiki ya kwanza kati ya tatu za kambi yake ya kujiandaa na msimu mpya katika Mji wa Sousse nchini Tunisia.

DOWNLOAD MAGOLI AL HILAL OMDURMAN 0 – 3 AZAM FC

MATOKEO Al Hilal vs Azam FC 14 July 2023, Matokeo Azam FC vs Al-Hilal Omdurman Leo 14 July 2023 Ligi Kuu Tanzania, Matokeo mechi ya azam leo,Azam FC leo,Al Hilal Omdurman, Azam vs Al Hilal, Matokeo Al Hilal Sudan vs Azam FC leo,Azam vs Al Hilal, Al Hilal Omdurman vs Azam FC Leo tarehe 14 Julai 2023,Al Hilal Omdurman 0 – 3 Azam FC Mechi ya Kirafiki.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *