telegram Nijuze Habari

MATOKEO Azam FC vs Simba SC October 27 2022

Filed in Michezo by on 27/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MATOKEO Azam FC vs Simba SC October 27 2022

Azam FC vs Simba SC October 27 2022, Matokeo Azam FC vs Simba Sports Club, Simba vs Azam NBC Premier League, Simba SC vs Azam FC NBC Premier League 2022/2023,k, Live Updates Simba SC Azam FC, Live Simba SC vs Azam FC October 27 2022.

MATOKEO Azam FC vs Simba SC October 27 2022

MATOKEO Azam FC vs Simba SC October 27 2022

BAO pekee la Mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube dakika ya 35 limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 14 katika mchezo wa nane na kusogea hadi nafasi ya nne, ikizidiwa wastani wa mabao tu na Simba SC ambayo pia ina mechi moja mkononi.

Mabingwa watetezi, Young Africans wao wanaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zao 17 baada ya mechi saba, wakifuatiwa na Mtibwa Sugar yenye pointi 15 baada ya mechi tisa.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *